Hii nchi ilikuwa inaweza kwenda zake tu, angalia soko la Bilioni 1 na nyumba ya Milioni 350

Kwa upumbavu wako unahisi hilo soko limejengwa kipindi gani, kama siyo kipindi cha shujaa!

Acheni ujinga! Hii nchi ilichezewa sana na watu kuzuiwa kuongea yanayoendelea!
Tena mpumbavu haswa, Hayati mwenyewe huku akijua kabisa Jangwani kuna jaa maji alijenga parking ya mwendo kasi Kwa mabilioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…