Hii nchi kuna watu wana pesa halafu hawana mbwembwe

Hii nchi kuna watu wana pesa halafu hawana mbwembwe

Isenye

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
97
Reaction score
628
Wakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.

Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.

Wakuu, hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu, kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
 
Back
Top Bottom