Hii nchi kuna watu wana pesa halafu hawana mbwembwe

Hii nchi kuna watu wana pesa halafu hawana mbwembwe

Wakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda flani cha wachina,wanatengeneza bidhaa flani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.
Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.
Wakuu,hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu,kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
Wazee m auza mbususus nini? Maana hiyo ndio bidhaa pendwa na fast moving kwa hapa tz
 
Hiyo ni hela ya kawaida mno Kwa mfanyabiashara mkubwa ambaye ni agent wa bidhaa fulani ambaye ana magodown kwenye mikoa kadhaa na maduka ya jumla kadhaa. Pia kuna watu wananunua ili wakauze nje ya nchi na kwenye mikoa jirani.

Sana sana kwenye sekta ya mafuta ya petrol/diesel, ngano, mafuta ya kupaka, mafuta ya kula, pombe, vifaa vya ujenzi, sabuni za unga/kipande, vinywaji, gesi, pedi za wanawake, pampas za watoto, spares, mbolea, viwatilifu/kemikali za kilimo, chumvi, vitu na kemikali za migodini, pharmacy/madawa ya jumla, condom n.k
 
Mnatakiwa muone fursa huko sio kubakia kusifia watu...
Mfano; useme kama kuna mtu/watu wenye uwezo wa kupata/kukopa mtaji wa kiasi kadhaa aje tufanye biashara. Kwa sababu wewe tayari umeona njia/fursa, pengine miaka kadhaa ijayo na wewe ukasifiwa.
Ndivyo wachina/wazungu wanavyotoka.........
 
Alafu upande mwengine kuna na Mwambino, kila siku yupo kwenye kutumia nguvu nyingi tumuone kuwa ni Tajiri
 
Wakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.

Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.

Wakuu, hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu, kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
Hicho kitakuwa kiwanda cha shurubati Kibaha.. Bisha
 
Wakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.

Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.

Wakuu, hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu, kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
Yeah,siye wa kubangaiza ndiyo kilasiku kujitutumua na kujionyesha
 
Back
Top Bottom