Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee m auza mbususus nini? Maana hiyo ndio bidhaa pendwa na fast moving kwa hapa tzWakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda flani cha wachina,wanatengeneza bidhaa flani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.
Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.
Wakuu,hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu,kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
Sababu wanaogopa kufaWatu wote wenye pesa hawana mbwembwe.
au basi😆Tafuteni hela
Zipo nje nje
TwyfordKuna kipindi nilikua mhasibu kiwanda flani cha tiles pale chalinze,hizo transactions kwetu zilikua kitu cha kawaida tu.
Hiyo sio biashara ni black market....ASEE, salesman utashudia mengi sana. niliwahi kuona mtu salasala analipa mtu dolla laki tano mkononi. hiyo ni sawa 1.2B na zilikuwa ndani kwenye bag tu la kawaida
hajambo mkuu tupo karibu tunafunga ndoaDalali mkuu yupooooo😁😁😁 Jude hajambo?
nilikuwa hapo Mkuu, so alikuwa anzitoa kwenye bag anamkbaidhi kibundaUlizionaje sasa mkuu ndani ya begi 😂
YesTwyford
Hahahaha!Kasema mwenye vijisenti ni mbongo, kiwanda ni cha mchina...ndio maana mnafeli mitihani
Hayo ndio mambo sasa,usirudie unaa wakohajambo mkuu tupo karibu tunafunga ndoa
Hicho kitakuwa kiwanda cha shurubati Kibaha.. BishaWakuu mpo vizuri?
Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania.
Kwa kweli toka nianze kufanya hizi kazi za sales sijawahi kushuhudia mtu binafsi anafanya malipo ya 2.5B per day.
Wakuu, hii nchi ukisema huna pesa ni wewe tu, kuna watanzania wenzetu tena wabantu wana pesa nyingi mnoo na hawana kelele kabisa.
hahaha sawa sawaHayo ndio mambo sasa,usirudie unaa wako
Yeah,siye wa kubangaiza ndiyo kilasiku kujitutumua na kujionyeshaWakuu mpo vizuri?