GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijui ni kwanini akina GENTAMYCINE tukipata tu Vyeo na Kulambishwa KEKI RASILIMALI TANZANIA ( KRT ) huwa tunabadilika Kitabia na kuwa Watu tusiojali, wenye Dharau, Wababe, Wajeuri, Wezi / Mafisadi halafu ni Wanafiki sana kujifanya tunawapenda Watu na Kuwaonea Huruma wakati kumbe Kiuhalisia Wao ndiyo Wanaoongoza kwa Kutuumiza.