Hii nchi mambo ni mengi aisee!! Hii Number Plate ya nini??

Gari za misaada kutoka china mkuu.
Marekani alikuwa anatoa DFP sasa China amekuja namna hiyo baada ya marekani kusitisha misaada.
Chuma kipo vizuri aisee, mchina afanye kweli
 
Hao wachina wameamua kulisajili hili gari kwa kutumia jina la kampuni yao ya ujenzi.
 
Huyo ni tajiri anayesimamia kampuni ya ccec ya wachina ya ujenzi ipo posta pale.
Hivo gari yake ndio kaweka hyo plate namba. Kijana mdogo pesa mingi. Walijenga pia project ya nyerere bridge, na lile jengo bara bara ya udsm na pia ndio wanashika ile project ya maghorofa ya round about ya kawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…