Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Wajuvi na wajuzi tuelezeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchina alivyo bahiri anaweza toa chuma kali hivyo??Gari za misaada kutoka china mkuu.
Marekani alikuwa anatoa DFP sasa China amekuja namna hiyo baada ya marekani kusitisha misaada.
Ushamba gani??wacha ushamba
Chuma kipo vizuri aisee, mchina afanye kweliGari za misaada kutoka china mkuu.
Marekani alikuwa anatoa DFP sasa China amekuja namna hiyo baada ya marekani kusitisha misaada.
China Civil Engineering Construction CompanyWajuvi na wajuzi tuelezeniView attachment 3227722
Special number.. Hilo ni jina la kampuni ya kichina inapiga mishe za ujenzi TanzaniaWajuvi na wajuzi tuelezeniView attachment 3227722
Umetisha aiseeZoom!
Hiyo sio plate number halisi ya Hilo Gari ni edited
Hapo sawaSpecial number.. Hilo ni jina la kampuni ya kichina inapiga mishe za ujenzi Tanzania
Anasubiri ule uzi wa maokotoOya Mjapani Mad Max ukuje huku
Na 888 wanamaanisha idadi ya gari au?Hao wachina wameamua kulisajili hili gari kwa kutumia jina la kampuni yao ya ujenzi.