Kusema kweli hii nchi inatia kinyaa na uongozi huu wa CCmMagamba inakuwaje vyuo vinafunguliwa next month then mpaka wa leo hakuna selection ya wanafunzi so watajiandaa vipi??Hakuna dawa nyingine zaidi ya kuwapiga chini mara tu ifikapo 2015 vijana kumbukeni wakati wakujiandikisha ukifika msifanye kosa jiandikisheni kwa wingi kamata mkono rafikio mkajiandikishe then siku ya uchaguzi hakikisheni mnapiga kura za hasira kwa CCmMagamba kumbukeni mkifanya kosa na kuwarudisha tena ipo siku Mtaambulia vichapo na mabomu ya machozi mkidai haki yenu so you guyz you have to be serious with this,msicheze na maisha hata siku moja.Hawa Ccm wateka nyara,wauaji,wala rushwa wakishapata kile watakacho kwisha kazi so tusiwape mwaya 2015 tuwaogope kama UKOMa.