Hii nchi na serikali ya ccm imechoka na kupooza haingii akili ati vyuo vinafunguliwa....

Hii nchi na serikali ya ccm imechoka na kupooza haingii akili ati vyuo vinafunguliwa....

Mboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
1,095
Reaction score
293
Kusema kweli hii nchi inatia kinyaa na uongozi huu wa CCmMagamba inakuwaje vyuo vinafunguliwa next month then mpaka wa leo hakuna selection ya wanafunzi so watajiandaa vipi??Hakuna dawa nyingine zaidi ya kuwapiga chini mara tu ifikapo 2015 vijana kumbukeni wakati wakujiandikisha ukifika msifanye kosa jiandikisheni kwa wingi kamata mkono rafikio mkajiandikishe then siku ya uchaguzi hakikisheni mnapiga kura za hasira kwa CCmMagamba kumbukeni mkifanya kosa na kuwarudisha tena ipo siku Mtaambulia vichapo na mabomu ya machozi mkidai haki yenu so you guyz you have to be serious with this,msicheze na maisha hata siku moja.Hawa Ccm wateka nyara,wauaji,wala rushwa wakishapata kile watakacho kwisha kazi so tusiwape mwaya 2015 tuwaogope kama UKOMa.
 
serikali legelege ,uongozilegelege,watendajilegelege,ndio sababu tcu wanafanya wanavyotaka ,tuwaondoe magambaaa
 
Kusema kweli hii nchi inatia kinyaa na uongozi huu wa CCmMagamba inakuwaje vyuo vinafunguliwa next month then mpaka wa leo hakuna selection ya wanafunzi so watajiandaa vipi??Hakuna dawa nyingine zaidi ya kuwapiga chini mara tu ifikapo 2015 vijana kumbukeni wakati wakujiandikisha ukifika msifanye kosa jiandikisheni kwa wingi kamata mkono rafikio mkajiandikishe then siku ya uchaguzi hakikisheni mnapiga kura za hasira kwa CCmMagamba kumbukeni mkifanya kosa na kuwarudisha tena ipo siku Mtaambulia vichapo na mabomu ya machozi mkidai haki yenu so you guyz you have to be serious with this,msicheze na maisha hata siku moja.Hawa Ccm wateka nyara,wauaji,wala rushwa wakishapata kile watakacho kwisha kazi so tusiwape mwaya 2015 tuwaogope kama UKOMa.

non sense huna hoja, ujiandae na nn we kama ulifaulu subiri tu usiwe na presha chuo utaenda, kwenye kuwatoa madarakan nakuunga mkono
 
Nimeshangaa mpaka sasa eti bado hawajaandikisha wanaotakiwa kusoma, kuna mdogo wangu anasoma IFM nilidhani ananitania kumbe hata yeye mwenye hajui lini wanaapply mwaka wa pili halafu anatakiwa kuaanza 2nd term.

Nchi imeoza kila idara
 
Thats true wajomba,mwez m1 utajiandaa vp km hujapewa mkopo,na hii lyf ye2?ccm is more than filthy,klchobak n kuwachnja bla dua!
 
Muanzisha mada umetumia Vyuo kuleta hoja ya kisiasa jamvini!!
Kuhusu selection mbona mnaziharakisha hivyo?? mwaka jana zilitoka August 31 mbona hamkulalamika??? pia ikumbukwe kuna watu walikosea kujaza fomu na kuto wasilisha taarifa kwenye account zao za CAS hao ndio walaumiwe kwa kufanya wasubiliwe.
CCM imeshindwa vitu vingi sio elimu tu. light kama kungekua na utaratibu mzuri MPAKA SASA SELECTION ZINGEKUA TAYARI
 
Back
Top Bottom