Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Sep 17, 2022 #21 Kuna kizazi kipo hapo nyuma ni hatari tupu! Wengi wao wameishia form four, wapo wapo tu, ndio mashabiki zake Mondi na Hamonize hao! Hiki kizazi naona kabisa kitakuwa kibaya sana
Kuna kizazi kipo hapo nyuma ni hatari tupu! Wengi wao wameishia form four, wapo wapo tu, ndio mashabiki zake Mondi na Hamonize hao! Hiki kizazi naona kabisa kitakuwa kibaya sana
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Sep 18, 2022 #22 Tunapoendea tutazalisha boko haram,hakuna kitu kibaya watawala kuwachukulia poa wanachi kero zao.
MIHULU JF-Expert Member Joined Jan 9, 2022 Posts 359 Reaction score 495 Sep 18, 2022 #23 Msisahau na kumshukuru Mhindi # wa kubet#
Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,761 Reaction score 3,835 Mar 31, 2023 Thread starter #24 MIHULU said: Msisahau na kumshukuru Mhindi # wa kubet# Click to expand... Kuneti kunaongeza vibaka
Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,761 Reaction score 3,835 Mar 31, 2023 Thread starter #25 misasa said: Tunapoendea tutazalisha boko haram,hakuna kitu kibaya watawala kuwachukulia poa wanachi kero zao. Click to expand... Nchi inabid ujipange
misasa said: Tunapoendea tutazalisha boko haram,hakuna kitu kibaya watawala kuwachukulia poa wanachi kero zao. Click to expand... Nchi inabid ujipange