Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,477
- 3,642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maisha ya kule ungekua wa kike usinge andika hivi yaani mwanamke hathaminikiSerikali ya JMT ilipiga marufuku mikutano ya siasa.
Serikali ya US imerasimisha watu kubanduana na kuoana.
Hizo ndo Serikali mzee!...
Kila nchi na utawala wake na kila utawala na vituko vyake.
Serikali ya JMT ilipiga marufuku mikutano ya siasa.
Serikali ya US imerasimisha watu kubanduana na kuoana.
Hizo ndo Serikali mzee!...
Kila nchi na utawala wake na kila utawala na vituko vyake.
.Hii mijamaa haijielewi kabisa,imepiga marufuku wanawake kwenda shule halafu pia inazuia wanawake wasionane na madaktari wa kiume.Huo ni ujingq kabisa.
Ha ha haHayo maisha ya kule ungekua wa kike usinge andika hivi yaani mwanamke hathaminiki