Hii nchi ya kinyanga

Hii nchi ya kinyanga

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Eti uanze kuwawaza wanasiasa asee ndugu yangu utachelewa bure Hapa tuna tafuta Mia Mia tule Sasa wewe jifanye uko serious uone kama utatusua.. hapa Ni kupaa tu na kudana Kama nako hunywi pombe nako fresh ila sisi ndo wajubalist..jamani Wana jf wenzangu kaeni kwa kutulia Kuna malomoni kibao Hapa kitaa na tuko pamoja yaani Niko both outdoor na online.Me nilishawaelekeza sipendi kuteseka we kama una umiza Kichwa umiza mwenyewe maisha yenyewe yako wapi haya Hapa ni kula raha mwanzo mwisho majuto kesho kmnina
 
Me ndo mjeshi konde boy
JPEG_20210721_223846_8908659598971640803.jpg
 
Back
Top Bottom