Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mchoro wa private jetMnaiona private jet yangu gulf stream imepakiView attachment 1838312
Mnafanya utani eeh,wimbi la tatu naskia sio LA mchezomchezo,tunaandaa tackle lipi sassa,kulia ama kushoto.Itakuwa chanjo ya covid hiyo, andaeni ma tackle.....
Una private jet halafu ni member wa JF,hongera mkuu...Mnaiona private jet yangu gulf stream imepakiView attachment 1838312
Andaa kitobo cha katiMnafanya utani eeh,wimbi la tatu naskia sio LA mchezomchezo,tunaandaa tackle lipi sassa,kulia ama kushoto.
Andaa kitobo cha kati
Basi sawa,we ushaandaa tayari cha kwako sio?.Andaa kitobo cha kati
so much stuff goes behind the scenes thats all you need to understandView attachment 1838268
Nimeona hiyo picha ila sijui ni ya mwaka gani na ilikuja kufanya kitu gani
Update:
Dar es Salaam. Marekani imesema ndege ya jeshi la nchi hiyo aina ya C-17 Globemaster iliyoegeshwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) imeleta mahitaji muhimu ya ubalozi wa nchi hiyo nchini Tanzania.
Ndege hiyo ambayo kwenye bawa lake la nyuma ina bendera ya Marekani chini yake ikiandikwa herufi AMC, picha zake zilianza kusambaa mitandaoni kuanzia jana Alhamisi Julai Mosi, 2021 ikiwa katika uwanja huo uliopo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Julai 2, 2021 ofisa ubalozi wa Marekani,
Michael Pryor amesema, “ni kweli ni ndege ya Marekani. Huwa inakuja kila mwaka kwa nyakati tofauti kushusha mahitaji muhimu ya ubalozi wa Marekani hapa nchini na kwingineko jirani.”
Bila kuyataja mahitaji hayo Pryor amesema huenda ndege hiyo ikaondoka kesho baada ya kukamilisha ushushaji. Katika mitandao ya kijamii baadhi ya watu walihoji ujio wa ndege hiyo bila majibu na wengine walijibizana kuwa huenda imeleta chanjo za Covid-19 baada ya Serikali kuruhusu uingizaji wa chanjo hizo kwa jumuiya za kimataifa.
Imeleta chanjo au virusi?Imeleta chanjo mkuu ,uwe na amani tu
Kuna gaidi kafatwa,apelekwe Guantanamo bay,akale mateso,nyie mmewaachia Mashekhe,sasa CIA wamekuja kuwadungua kimya kimya,View attachment 1838268
Nimeona hiyo picha ila sijui ni ya mwaka gani na ilikuja kufanya kitu gani
Update:
Dar es Salaam. Marekani imesema ndege ya jeshi la nchi hiyo aina ya C-17 Globemaster iliyoegeshwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) imeleta mahitaji muhimu ya ubalozi wa nchi hiyo nchini Tanzania.
Ndege hiyo ambayo kwenye bawa lake la nyuma ina bendera ya Marekani chini yake ikiandikwa herufi AMC, picha zake zilianza kusambaa mitandaoni kuanzia jana Alhamisi Julai Mosi, 2021 ikiwa katika uwanja huo uliopo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Julai 2, 2021 ofisa ubalozi wa Marekani,
Michael Pryor amesema, “ni kweli ni ndege ya Marekani. Huwa inakuja kila mwaka kwa nyakati tofauti kushusha mahitaji muhimu ya ubalozi wa Marekani hapa nchini na kwingineko jirani.”
Bila kuyataja mahitaji hayo Pryor amesema huenda ndege hiyo ikaondoka kesho baada ya kukamilisha ushushaji. Katika mitandao ya kijamii baadhi ya watu walihoji ujio wa ndege hiyo bila majibu na wengine walijibizana kuwa huenda imeleta chanjo za Covid-19 baada ya Serikali kuruhusu uingizaji wa chanjo hizo kwa jumuiya za kimataifa.
Imekuja kubeba Uranium...View attachment 1838268