Hii ndege za ATCL ni mpya au ni sababu ya covid-19?

Hii ndege za ATCL ni mpya au ni sababu ya covid-19?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,266
Reaction score
25,555
Wadau nimekutana na hizi picha kwenye moja ya ukurasa wao na sijapata jibu mujarabu kama hii ni moja kati ya zile ndege zilizopo so wamebuni njia mpya ya kuingiza amafaranga au ni mpya na ndiyo maana viti bado vina nylon?

20200520_184443160170.jpg
20200520_204041.png


Wataalam tujuzane...
 
Hii ni Bombardier zile zilizounuliwa walichofanya ni kubadilisha tu sehemu zenye siti ya abiria kuweka mizigo hata mashirika mengine ya ndege yanafanya hivyo .ni jambo la kawaida sana hili
Sawa mkuu.
Ila swali la msingi na ambalo nimejiuliza ni hili.
Garama ya mzigo uliokalishwa kwenye kiti inaenda sawa na nauli ya abilia ambaye angekaa?
 
Sawa mkuu.
Ila swali la msingi na ambalo nimejiuliza ni hili.
Garama ya mzigo uliokalishwa kwenye kiti inaenda sawa na nauli ya abilia ambaye angekaa?
Tujiulize kwanini Rwanda Air wanabeba minofu ya samaki Mwanza na sio ATCL?
 
Sawa mkuu.
Ila swali la msingi na ambalo nimejiuliza ni hili.
Garama ya mzigo uliokalishwa kwenye kiti inaenda sawa na nauli ya abilia ambaye angekaa?
Kweli nalo ni swali najiuliza.... lakini ni bora tu kufanya hivyo kuliko ipaki idle tu

MÊmENtO HoMO
 
... lakini ni bora tu kufanya hivyo kuliko ipaki idle tu
******************************************************
Garama ya mzigo uliokalishwa kwenye kiti inaenda sawa na nauli ya abilia ambaye angekaa?
 
Back
Top Bottom