Huyu jamaa angekua uzunguni angekua tayari kashapitisha billion in sales and investment ndani ya nchi yake... Cha kusikitisha ni kwamba most likely akienda kufanya pitch pale Kenya Power wanamdharau. Akili zao za utumwa zinawasukuma kuamini teknolojia ya Mzungu/mchina ni superior wakati clearly hio meter ya power ya huyu jamaa ni Kali zaidi kuliko zile zinazoekwa na Kenya Power Kwa sasa ambazo huagiziwa kutoka nje... Tena anaprovide African Solutions ambazo kule ugaibuni hawawezi kutufanyia, imagine uwezo wa kusambaza kwh token units kutoka Kwa meter moja Hadi Kwa mwenye amekatikiwa stima !Ni habari nzuri sana hii, kawaida utaalam huwa tunao ila changamoto huwa kwenye mazingira ya uzalishaji, wenzetu Ulaya au Uchina wana mazingira wezeshi na rafiki hadi kuweza kuzalisha kwa wingi kwa gharama nafuu.
what else is new?! can't you tell by how much they're avoiding this thread like a plague?!Nimewatch video nikakumbuka Mtanzania akijichocha vile wanaintroduce new generation meters..........kumbe zimetengenezwa na Mkenya hehehehe.
CC. Shebby01
Geza Ulole
chongchung
Simon