warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Baada ya wiki chache kupita toka msanii classic bongo,wema isaac sepetu kuingiza mnyama mpya aina ya lexus,uwoya naye kajibu mapigo kwa kununua(sina uhakika) benzi matata sana inayoendana na hadhi yake,thamani ya hiyo gari ni dola za kimarekani 95,00,haijajulikana kama nayeye kanunua kwa bei hiyo au la,ila hiyo ndio thamani ya hilo gari.
Pia hivi karibuni msanii Wema Sepetu alitangaza kuonyesha show yake inayokwenda kwa jina la MY SHOES,Uwoya naye kaandaa pia show yake inayokwenda kwa jina la PARADISE,na shows zote zitaanza kurushwa ndani ya wiki hii ndani ya station moja ya clouds tv, kweli bongo movie inalipa,swali je,mbona wasanii wengi wa kiume hawana mafanikio kama hawa dada zetu?,au wenyewe hawajitumi vizuri kwenye sanaa?
Inawezekana dada zetu hupendwa sana kushirikishwa kwenye movie nyingi tofauti na wavulana,pia mvuto na majina waliyonayo inawezekana kuwa chanzo cha kulipwa pesa nyingi kuliko wanaume..sasa sijui apa vidume vifanye jitihada gani,angalau na wao waendeshe hata vits.