Hii ndio benzi mpya ya Uwoya

Hii ndio benzi mpya ya Uwoya

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya wiki chache kupita toka msanii classic bongo,wema isaac sepetu kuingiza mnyama mpya aina ya lexus,uwoya naye kajibu mapigo kwa kununua(sina uhakika) benzi matata sana inayoendana na hadhi yake,thamani ya hiyo gari ni dola za kimarekani 95,00,haijajulikana kama nayeye kanunua kwa bei hiyo au la,ila hiyo ndio thamani ya hilo gari.

Pia hivi karibuni msanii Wema Sepetu alitangaza kuonyesha show yake inayokwenda kwa jina la MY SHOES,Uwoya naye kaandaa pia show yake inayokwenda kwa jina la PARADISE,na shows zote zitaanza kurushwa ndani ya wiki hii ndani ya station moja ya clouds tv, kweli bongo movie inalipa,swali je,mbona wasanii wengi wa kiume hawana mafanikio kama hawa dada zetu?,au wenyewe hawajitumi vizuri kwenye sanaa?

Inawezekana dada zetu hupendwa sana kushirikishwa kwenye movie nyingi tofauti na wavulana,pia mvuto na majina waliyonayo inawezekana kuwa chanzo cha kulipwa pesa nyingi kuliko wanaume..sasa sijui apa vidume vifanye jitihada gani,angalau na wao waendeshe hata vits.
 
Attachments

  • uwoya 2.jpg
    uwoya 2.jpg
    117.5 KB · Views: 2,385
  • uwoya 3.jpg
    uwoya 3.jpg
    100.9 KB · Views: 2,233
  • uwoya gari.jpg
    uwoya gari.jpg
    123.9 KB · Views: 2,253
inalipa Wakat Wananunua Wanawake Tuuuu?? mbona Kina Kishoka hatuyaoni magari yao!!!???

Tafakari, chukua hatua
aaah aaah eti akina kishoka,duh umenikumbusha mbali,huyu jamaa sijui bado yupo kwenye movie,aka kubwa la maadui
 
inalipa Wakat Wananunua Wanawake Tuuuu?? mbona Kina Kishoka hatuyaoni magari yao!!!???

Tafakari, chukua hatua

Kweli umeanza kunifikirisha sasa kuhusu hili......Kwa nini wasanii wa kike tu?
Vipi kina Cheni, Dude, Tino na wengine wa kiume?
 
But mimi kwa sasa nin anegative perception na utajiri wa wasanii wetu hata wafanyeje nitaconclude utajiri wao ni wa Sembe tu wala hawana lolote.
 
inalipa Wakat Wananunua Wanawake Tuuuu?? mbona Kina Kishoka hatuyaoni magari yao!!!???

Tafakari, chukua hatua

Hilo ndio neno la kujiuliza kwa sababu movie wanashirikina wote kina mama na kina baba.
 
Huyo jamaa yuko vizuri kiuchumi, kingine ni kwamba inawezekana wasanii wanaume pia wanamafanikio ila hawajionyeshi na kutambiana kama hawa dada zetu. wazo langu tuu, lakini kwa hawa imekuwa kama ni zaidi ya kazi zao za sanaa, nani yuko nyuma ya mafikio yao, inababiki kuwa maswali magumu kwa sisi ambao hatuujui ukweli wa hali halisi
Kweli umeanza kunifikirisha sasa kuhusu hili......Kwa nini wasanii wa kike tu?
Vipi kina Cheni, Dude, Tino na wengine wa kiume?
 
Dr.CHENI SAWA MAMBO YAKE NI MAZURI LAKINI NIKUIBIE SIRI KIDOGO NA JE UTANILIPA,,,,,HAYA NAKUNONGONEZA..MAMA MKWE YUPO MAREKANI NA YUPO NJEMA SANA PIA ANA JIMAMA LAKE LA MAANA LENYE MAPESA YAKE TELE!HII NI EXCLUSIVE NA USIMWAMBIE MTU!WENGI HAWAJUI!
 
Sawa brother thimwambii mtu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Wengi wao wanapewa gari kwa mdomo ila kadi ya gari anakaa nayo aliyemuazima.
Kama fani inalipa mbona hao wengine hawaendeshi hata Vitz?

Akili za kuambiwa na kuona,,, Unachanganya na za kwako.
 
Swali dogo tu..hv msanii wa bongo muvi anapoenda Marekani,Ufaransa,SA eti kwa shughuli za kikazi,huwa wanaenda kutafuta soko la filamu,lokesheni au nafasi ya kucheza muvi hollywood au waenda kusoma? Chukua atua punda ni wengi,sio mpaka awe mnyama wa miguu 4
 
Umuofia kwenu wana JF,

Habari za chinichini zinasema mtanzania mdogo mwenye utajiri wa ajabu mike mziray ameuza gari yake ya kifahari aina ya Benz S500 kwa mrembo irene uwoya!

Je hii imekaaje Mike amefulia au kavuliwa kwa mkwanja mrefu? Au Irene Uwoya ameazima gari kuoshea town baada ya kuliwa uroda nje ndoa na diamond?

Mike Mziray ni mdogo wa Richard Mziray mtanzania mdogo mwenye utajiri wa hajabu ambae alifanya kufuru ya kufunga ndoa juu angani na super model international video queen cynthia masasi.
 
Hilo benzi Halifai kuendesha mtu wa backseat anaenjoy kuliko wa mbele. Aajiri dereva kama anazo hela.
 
Umuofia kwenu wana JF,

Habari za chinichini zinasema mtanzania mdogo mwenye utajiri wa ajabu mike mziray ameuza gari yake ya kifahari aina ya Benz S500 kwa mrembo irene uwoya!

Je hii imekaaje Mike amefulia au kavuliwa kwa mkwanja mrefu? Au Irene Uwoya ameazima gari kuoshea town baada ya kuliwa uroda nje ndoa na diamond?

Mike Mziray ni mdogo wa Richard Mziray mtanzania mdogo mwenye utajiri wa hajabu ambae alifanya kufuru ya kufunga ndoa juu angani na super model international video queen cynthia masasi.

mkuu unanifurahishaga na hizi details zako adimu, teh teh!
 
Wengi wao wanapewa gari kwa mdomo ila kadi ya gari anakaa nayo aliyemuazima.
Kama fani inalipa mbona hao wengine hawaendeshi hata Vitz?

Akili za kuambiwa na kuona,,, Unachanganya na za kwako.

Kwanza thamani ya hiyo Benz umeiona ilivyoandikwa?
 
Back
Top Bottom