Hii ndio benzi mpya ya Uwoya

Hii ndio benzi mpya ya Uwoya

Papuchi plus u Mule unalipa kwa kweli!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umuofia kwenu wana JF,

Habari za chinichini zinasema mtanzania mdogo mwenye utajiri wa ajabu mike mziray ameuza gari yake ya kifahari aina ya Benz S500 kwa mrembo irene uwoya!

Je hii imekaaje Mike amefulia au kavuliwa kwa mkwanja mrefu? Au Irene Uwoya ameazima gari kuoshea town baada ya kuliwa uroda nje ndoa na diamond?

Mike Mziray ni mdogo wa Richard Mziray mtanzania mdogo mwenye utajiri wa hajabu ambae alifanya kufuru ya kufunga ndoa juu angani na super model international video queen cynthia masasi.

mtanzania mwenye utajiri wa hajabu mike mziray mdogo wa mtanzania mwenye utajiri wa hajabu richard mziray mume wa queen mwenye utajiri wa hajabu cynthia masasi kamuuzia uwoya gari la hajabu kwa bei ya hajabu!!! Halafu mi hapa nalialia na kodi ya line za simu.
Kweli kuna wananchi na wenyenchi.
 
Swali dogo tu..hv msanii wa bongo muvi anapoenda Marekani,Ufaransa,SA eti kwa shughuli za kikazi,huwa wanaenda kutafuta soko la filamu,lokesheni au nafasi ya kucheza muvi hollywood au waenda kusoma? Chukua atua punda ni wengi,sio mpaka awe mnyama wa miguu 4

Hata mimi nilijiuliza lkn, jibu nilipat kwa masogange!!
 
Gali jipya Mbona reg namba ya zamani. Kuna muuza unga Kampa ili amle uroda kwa muda

big up...mkuu una macho, sikuiona hiyo.....gari mpya zinaanza na namba C.... kwenda mbele, hiyo BV... ni gari ya longtime kwenye 2011 huko au mapema 2012!!!
 
Heee ahsante !!!
Aksante kwa kunijibia,,,,,...............mwambie tena ni sili hapa BONGO PAONE HIVIHIVI kuna wamama wengi waliofiwa na wume au wengine hawakupata bahati ya kuwa na mwenza wa maisha ila alhamdulilahhi mambo YA PESA YAPO! mana wanasema hunyimwi ki
la kitu ndo haoooooooooooo wanaokuja kuwakaba mahandisamu boy wa mji na kwa vile wengi hamjui mnadhani ni SANAAA! haya jamani tupo baadaye!
 
mtanzania mwenye utajiri wa hajabu mike mziray mdogo wa mtanzania mwenye utajiri wa hajabu richard mziray mume wa queen mwenye utajiri wa hajabu cynthia masasi kamuuzia uwoya gari la hajabu kwa bei ya hajabu!!! Halafu mi hapa nalialia na kodi ya line za simu.
Kweli kuna wananchi na wenyenchi.

Hajabu* ---- Ajabu
 
Nimeshawahi kushuhudia uwoya anahongwa milioni 5 live mwanza
 
Wasanii wa kiume hawajawezeshwa! Wakiwezeshwa kama akina uwoya watatoka tuu!
 
Umuofia kwenu wana JF,

Habari za chinichini zinasema mtanzania mdogo mwenye utajiri wa ajabu mike mziray ameuza gari yake ya kifahari aina ya Benz S500 kwa mrembo irene uwoya!

Je hii imekaaje Mike amefulia au kavuliwa kwa mkwanja mrefu? Au Irene Uwoya ameazima gari kuoshea town baada ya kuliwa uroda nje ndoa na diamond?

Mike Mziray ni mdogo wa Richard Mziray mtanzania mdogo mwenye utajiri wa hajabu ambae alifanya kufuru ya kufunga ndoa juu angani na super model international video queen cynthia masasi.

Huyo mtoto wa marehemu mzee mziray na agnes atakua amefulia...wamerudi tanzania bila kupenda....so km huna kazi na unatumia tu hela unategemea nini....ni nawafahamu sanaaa ila nyodo ss .....uwiiiii
 
Huyo mtoto wa marehemu mzee mziray na agnes atakua amefulia...wamerudi tanzania bila kupenda....so km huna kazi na unatumia tu hela unategemea nini....ni nawafahamu sanaaa ila nyodo ss .....uwiiiii

Inawezekana amefulia lakini hata ilo benzi lenyewe nilijaribu kulifatilia limechoka kweli nadhani hata irene amepigwa engine ile sio ya benzi itakuwa ya cresta amenunua cover la nje tu
 
Back
Top Bottom