Hii ndio benzi mpya ya Uwoya

Hii ndio benzi mpya ya Uwoya

Mbona gari hata sio jipya jamani......yaaani platr ya kitaaaambo aisee
 
Aksante kwa kunijibia,,,,,...............mwambie tena ni sili hapa BONGO PAONE HIVIHIVI kuna wamama wengi waliofiwa na wume au wengine hawakupata bahati ya kuwa na mwenza wa maisha ila alhamdulilahhi mambo YA PESA YAPO! mana wanasema hunyimwi ki
la kitu ndo haoooooooooooo wanaokuja kuwakaba mahandisamu boy wa mji na kwa vile wengi hamjui mnadhani ni SANAAA! haya jamani tupo baadaye!

Hao mahandsome boy wanakabwa au wanajipeleka kw kupenda mteremko na vya bure... wanawavizia mijimama wakiwa shopping, saluni na hata wengine hutafuta namba zao za cm kwa watu wanaowafahamu... mwanamke yeyote hapa mjini ukishakuwa na hela utitiri wa wauza sura kila siku utakuwa unakufuatilia. kwa hiyo kama una stress unampa Gx 110, we utalambwa mpaka unyayo
 
Hao mahandsome boy wanakabwa au wanajipeleka kw kupenda mteremko na vya bure... wanawavizia mijimama wakiwa shopping, saluni na hata wengine hutafuta namba zao za cm kwa watu wanaowafahamu... mwanamke yeyote hapa mjini ukishakuwa na hela utitiri wa wauza sura kila siku utakuwa unakufuatilia. kwa hiyo kama una stress unampa Gx 110, we utalambwa mpaka unyayo

Hata kama una miaka 60 utaitwa bebi, utapigiwa simu kila dakika, utaulizwa umekula mamaa, utapewa cares zooote za dunia hii mpk utajiona una miaka 16 lolest!
 
Umuofia kwenu wana JF,

Habari za chinichini zinasema mtanzania mdogo mwenye utajiri wa ajabu mike mziray ameuza gari yake ya kifahari aina ya Benz S500 kwa mrembo irene uwoya!

Je hii imekaaje Mike amefulia au kavuliwa kwa mkwanja mrefu? Au Irene Uwoya ameazima gari kuoshea town baada ya kuliwa uroda nje ndoa na diamond?

Mike Mziray ni mdogo wa Richard Mziray mtanzania mdogo mwenye utajiri wa hajabu ambae alifanya kufuru ya kufunga ndoa juu angani na super model international video queen cynthia masasi.
King Kong III nimeipenda hiyo signature yako
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi hii nilikuwa siijuwi, ahsante sana mkuu.

Dr.CHENI SAWA MAMBO YAKE NI MAZURI LAKINI NIKUIBIE SIRI KIDOGO NA JE UTANILIPA,,,,,HAYA NAKUNONGONEZA..MAMA MKWE YUPO MAREKANI NA YUPO NJEMA SANA PIA ANA JIMAMA LAKE LA MAANA LENYE MAPESA YAKE TELE!HII NI EXCLUSIVE NA USIMWAMBIE MTU!WENGI HAWAJUI!
 
Hawa mabinti wataharibu sana kizazi cha watoto wetu.. Wakidhani mafanikio yanapatikana kwa kuhongwa mali na wanaume.
 
Inawezekana amefulia lakini hata ilo benzi lenyewe nilijaribu kulifatilia limechoka kweli nadhani hata irene amepigwa engine ile sio ya benzi itakuwa ya cresta amenunua cover la nje tu

kweli huu mji una mambo,sanaa kilasehemu.
 
But mimi kwa sasa nin anegative perception na utajiri wa wasanii wetu hata wafanyeje nitaconclude utajiri wao ni wa Sembe tu wala hawana lolote.
Ni kweli ,kila siku wanalalamika kuwa soko gumu wasambazaji wanawadhulumu,piracy jasho lao wanafaidika wengine na mengi yafananayo .Lakini ukifuatilia maisha yao wananuka pesa! kwa mauzo ya filamu ipi(zipi) inayo wafanya wawe na muendelezo wa matumizi makubwa kiasi hicho?
 
Mambo haya ndio yaliyomfanya big ass awe punda na sasa ataozea kwa Madiba
 
Baada ya wiki chache kupita toka msanii classic bongo,wema isaac sepetu kuingiza mnyama mpya aina ya lexus,uwoya naye kajibu mapigo kwa kununua(sina uhakika) benzi matata sana inayoendana na hadhi yake,thamani ya hiyo gari ni dola za kimarekani 95,00,haijajulikana kama nayeye kanunua kwa bei hiyo au la,ila hiyo ndio thamani ya hilo gari.

Pia hivi karibuni msanii Wema Sepetu alitangaza kuonyesha show yake inayokwenda kwa jina la MY SHOES,Uwoya naye kaandaa pia show yake inayokwenda kwa jina la PARADISE,na shows zote zitaanza kurushwa ndani ya wiki hii ndani ya station moja ya clouds tv, kweli bongo movie inalipa,swali je,mbona wasanii wengi wa kiume hawana mafanikio kama hawa dada zetu?,au wenyewe hawajitumi vizuri kwenye sanaa?

Inawezekana dada zetu hupendwa sana kushirikishwa kwenye movie nyingi tofauti na wavulana,pia mvuto na majina waliyonayo inawezekana kuwa chanzo cha kulipwa pesa nyingi kuliko wanaume..sasa sijui apa vidume vifanye jitihada gani,angalau na wao waendeshe hata vits.

MPYA yenye namba za BGE!!!? Hio ni registration number ya mwaka 2010 miezi ya august hivi!!
 
Dr.CHENI SAWA MAMBO YAKE NI MAZURI LAKINI NIKUIBIE SIRI KIDOGO NA JE UTANILIPA,,,,,HAYA NAKUNONGONEZA..MAMA MKWE YUPO MAREKANI NA YUPO NJEMA SANA PIA ANA JIMAMA LAKE LA MAANA LENYE MAPESA YAKE TELE!HII NI EXCLUSIVE NA USIMWAMBIE MTU!WENGI HAWAJUI!
Mamaa S...
 
Hata kama una miaka 60 utaitwa bebi, utapigiwa simu kila dakika, utaulizwa umekula mamaa, utapewa cares zooote za dunia hii mpk utajiona una miaka 16 lolest!

[Lloyd Banks]
Bitches be frustrated with the baller
Wonder why I don't call her
Maybe because I'm busy and she needs someone
to spoil her
It gets annoying from time to time I gotta ignore
her
In order to let her know we'll be friends and
nothing more
She loves it when I'm in town
Hate it when I'm not around
I get her and wear down
Next door neighbors hear the sound
Pictures hittin' the ground
Just enough to hold us down
I'm stickin' n' moving cruising after the third
round
Just lay back baby and let me drive you crazy
I can make a 40 year old feel like a young lady
I admit I fell in love with her frame
And to make her feel special I let her call me by
my government name
Her panties wet over fame
Fall in love with my chain
I wonder if I wasn't an entertainer would she
remain
Surrounding me hounding me trying to be my
only
I'm not your boyfriend I'm your homie.
 
Back
Top Bottom