Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Niliwahi kusema, ukikuta mtu anatumia mdomo wake vibaya kwa kuropoka ropoka ujue kuna shida kwenye maisha yake, malezi yake, Elimu yake, ni vema tukafuatilia namna alivyolelewa na kukua n.k!! Kuna dosari hata kwenye hiyo CV ambayo ameamua kutupa ingawa swali kubwa hapa tulihitaji matokeo yake ya Kidato cha nne na cha Sita ili tujue alikwendaje chuo kikuu.

Kama nijuavyo Butimba hakuna high school, na haijapata kuwepo, kilichopo pale ni Sekondari na kama alifanyia pale mtihani, basi alifanya kama private candidate maana yake pale kuna kituo tu cha kufanyia mtihani na si shule kwa maana ya High School. Kwa hili tunahitaji tujue matokeo yake ya form four ili tuyaringanishe na yale ya Mnyika.

Kwa hiyo mwandishi amejaribu kwa mara nyingine kudanganya, Bado tunamuhitaji NAPE vuvuzela aje hapa jamvini aweke wazi MATOKEO YAKE YA FORM IV, NA YA FORM SIX, kama ambavyo Mnyika aliweka na hata akadhubutu kuonesha hakumaliza Digrii yake. Nape anaogopa nini?? Elimu ya Nape ina shida!!
 
Reactions: FJM
Akikupa hayo matokeo utakutana na kiambatanisho hapo chini, sasa jiulize F ya Maths na bado amesoma EGM
NAPE NNAUYE
DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F

Naelewa kabisa kulinganisha elimu ya Nape na Mnyika hakutusaidii lolote hapa wakati tukiwa kwenye msiba mkali wa watoto wetu kufeli kupita maelezo. Lakini cha kushangaza ni jinsi gani mtu anakula MSWAKI (F) wa Civics kisha anakuwa katibu mwenezi wa chama cha siasa....lol, maendeleo ya JK. Huu ushuhuda uko Tanzania ambako ndege ilifunga breki angani na kutoa vumbi ikiwa angani.
 
Pia kuorodhesha diploma alizoendelea kuzipata baada ya kumaliza A-Level kunaimanisha kwamba matokeo yake ya form six yalikuwa mabaya hivyo akashindwa kwenda chuo kikuu.digree aliyopata india doesnt mean anything.kwamba vyuo vya india na nchi nyingine nyingi za nje ya nchi viko kibiashara zaidi na hutoa degree kwa wahitimu wote ambao wamelipa school fees na sio kwa wale tu ambao wanafikia vigezo vya kupewa degree.hivyo kwa kuorodhesha degree ya india haitufanyi tumwone Nape kuwa ni kichwa.hawezi hata kidogo kujilinganisha na mtu kama mnyika.Mnyika haitaji CV yake ili kutambua uwezo wake kwenye kutoa maamuzi,kwenye kutoa hoja na kwenye mambo mengine mengi ambayo yamemfanya akubalike kwa wananchi.As smart as he is there was no need to dought about his education.tukiondoa tofauti za uchama nadhani Mnyika ni kiongozi kijana ambaye ana stahili kabisa kuja kuwa Raisi wa nchi hapo baadae.be blessed!
 

sijawahi kuona kilaza kama Nape duniani
 
Ndugu Nape tunaomba utupatie mbinu uliotumia kufikia hatua ya masters pamoja na performance yako kuwa mbaya O-level(div iv, pt 29). Ninalazimika kukuomba ufanye hivyo ili uwape mbinu hawa vijana waliofeli sana frm 4 kipindi hiki ili nao waweze kufikia ngazi ya elimu ya juu kama wewe!, hili ni ombi kwako mheshimiwa katibu.
 
ah ah..! Ujumbe una ukweli ndani yake, ila si dhani kama atatokea hapa kutoa ujuzi.
 
Kweli,atupe success story yake hapa,anahitajika sana
 
Kwanini unataka kujitesa kutafuta masters wakati elimu yako ya form four inakutosha kukufanya uwe kiongozi wa upinzani Bungeni?
 

WAJAMENI... Hakuweza kupata hiyo DIPLOMA CHUO CHA DIPLOMASIA... ALIDISCO... SOMA CHINI


Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ngudu wilayani Kwimba akiwa na jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diploma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake cha form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India.

Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters ya MBA bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?

Nape akapata degree yake fake ya psychology ambayo ndiyo aliyoitumia kuomba masters mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi cheti zaidi ya kile cha degree yake ya India.

Kama anabisha aweke vyeti vyake vya o.levl na a.level hapa.
 

Huwezi kufanya Thesis kwenye level ya Diploma, nadhani alimaanisha 'final project'
 

Kuna mtu anafahamu yuko wapi huyo Nape Mkumbo Nyagicha aliyefaulu lakini akashindwa kuendelea kutokana 'umaskini'? Ingekuw vizuri kujua hali yake ikoje kwa sasa baada ya kukosa nafasi ya kupata elimu zaidi.
 
Usikariri maisha mkuu mwaride. Mh. Mbowe kwa form four yake amefanya kazi hadi BOT na anategemea kuwa waziri mkuu.

Ukiwa makini, unaweza kufanikiwa kimaisha kwa form four yako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Dah! hiyo kali, katibu tuNAPIshe siri ya mafanikio hadi kufikia masters na ikibidi GPA yako.
 
Kuwa mwanaccm inatosha!ndo ujue kuna kununua majina na hata kama hujasoma ndani ya system utaingia na kuongoza watz
 
Kuna mtu anafahamu yuko wapi huyo Nape Mkumbo Nyagicha aliyefaulu lakini akashindwa kuendelea kutokana 'umaskini'? Ingekuw vizuri kujua hali yake ikoje kwa sasa baada ya kukosa nafasi ya kupata elimu zaidi.

Umeona yule KIGANGWALLA Original hata hakujua cha kufanya anaishi Vijijini Upeo bado umebaji wa kivijiji... Hajui Mbunge kamfanyia nini kielimu...
 
Reactions: FJM

Masters aliianza 2008 anamaliza 2012? 4 years kwa Masters??? was it a Bachelor in disguise??? and it is only the easiest degree in the world PUBLIC ADMINISTRATION; Yaani utafanya nini na hiyo Degree...??
 
Elimu ya Nape haina mashaka wala maswali,elimu ya Mnyika pamoja na mbwembwe zote kaishia njiani.Lawama nyingi kwa serikali kwenye kujibu tuhuma kuwa hana degree.
Hata Mulugo alimekataa form 4 waliopata dv four point 28 kuwapost hata ualimu wa msingi. yeye ana 29 du!
 


uko makini kiongozi.
maelezo yako yana make sense ukilinganisha na upeo mdogo wa bwana NAHUM (nape mkumbo nyagicha).
kama anabisha ajitokeze jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…