BAI SM
Member
- Nov 16, 2010
- 49
- 33
Niliwahi kusema, ukikuta mtu anatumia mdomo wake vibaya kwa kuropoka ropoka ujue kuna shida kwenye maisha yake, malezi yake, Elimu yake, ni vema tukafuatilia namna alivyolelewa na kukua n.k!! Kuna dosari hata kwenye hiyo CV ambayo ameamua kutupa ingawa swali kubwa hapa tulihitaji matokeo yake ya Kidato cha nne na cha Sita ili tujue alikwendaje chuo kikuu.
Kama nijuavyo Butimba hakuna high school, na haijapata kuwepo, kilichopo pale ni Sekondari na kama alifanyia pale mtihani, basi alifanya kama private candidate maana yake pale kuna kituo tu cha kufanyia mtihani na si shule kwa maana ya High School. Kwa hili tunahitaji tujue matokeo yake ya form four ili tuyaringanishe na yale ya Mnyika.
Kwa hiyo mwandishi amejaribu kwa mara nyingine kudanganya, Bado tunamuhitaji NAPE vuvuzela aje hapa jamvini aweke wazi MATOKEO YAKE YA FORM IV, NA YA FORM SIX, kama ambavyo Mnyika aliweka na hata akadhubutu kuonesha hakumaliza Digrii yake. Nape anaogopa nini?? Elimu ya Nape ina shida!!