Kuna mtu kajitokeza kujibu
elimu ya Nape wengi wakahoji
kwani Nape yuko wapi
asijitokeze mwenyewe kujibu
kama alivyofanya Mnyika?
Naomba mfahamu aliyejibu ni
Nape mwenyewe kwa kutumia
ID ya bandia, lakini amekuwa
mno too radical hadi watu
wakamshtukia.
Lakini hoja sio kuwa radical,
au kutumia ID bandia, hoja ni
kuwa amefanya upotoshaji wa
makusudi uliotuacha mdomnd
wazi wale tunaomfahamu.
Sasa ukweli kuhusu elimu ya
Nape huu hapa.
Mwaka 1993 alifeli darasa la
saba. Wakati ule jina halali la
Nape akiitwa Nahum Nnauye.
Waliosoma nae wanakumbuka.
Bt akafanyiwa mpango na
kupewa jina la Nape Mkumbo
Nyagicha mtoto masikini wa
Kinyiramba, aliyefaulu lakini
familia yake haikuwa na
uwezo wa kumsomesha.
Mwaka 1994 Nahum Nnauye
akajiunga na shule ya
sekondari ya kutwa Ndugu
wilayani Kwimba akiwa na jina
kaiba jina jipya la Nape.
Mwaka 1995 akahamishiwa
shule ya Sekondari Nsumba
kwa kutumia title ya baba
yake Mzee Moses Nnauye.
Mwal 1997 akafeli form four
kwa kupata division four ya
point 29 akiwa na D 4, c 1 na
F 5. Akareseat mara 2 bila
mafanikio pale Butimc TTC
ambacho ni kituo cha
watahiniwa binafsi. Mwaka
1999 na mwaka 2000.
Akakata tamaa na hatimaye
mwaka 2001 akaamua kwenda
kusoma cheti cha Uhazili (cert
of secretarial services) katika
chuo cha Kivukoni. So kabla
sijaendelea naomba ieleweke
kuwa Nahum Moses Nnauye
(Nape) hajawahi kusoma form
5 shule yoyote duniani. Kama
anabisha aje hapa tumuulize
maswali ya Geography 1 au
Ecomics 2 uone
atakavyochanganyikiwa.
Kwanza hajui kama kun
paper 1 na 2 A.level,
atasemaje amesoma A.level?
So uhazili mwaka akatumia
cheti chake cha uhazili
kuomba diploma pale chuo
cha Diplomasia kurasini.
akapata na akaanza kusoma.
Mwaka mwaka 2002 akafeli
kuendelea na 2nd year baada
ya kupata suplimentary 4 ktk
masomo 6 aliyokuwa akisoma.
So kwa kifupi akadsco. Hivyo
naomba ieleweke kuwa huyu
jamaa anayejiita Nape
hajawahi kutunukiwa
diplmoma yoyote kutoka Chuo
cha Diplomasia Kurasini.
Kwanza asikidhalilishe chuo
maana pale hakuna Diploma
ya mwaka mmoja. kama
anabisha aupoad picha yoyote
hapa alipokuwa anatunukiwa
hiyo diploma.
Grace Mwasonge
unamkumbuka Nape vzr
maana alikuwa classmate
wako wakati huo. So najua
uko humu japo kwa ID tofauti
naomba ujitokeze kudhibitisha
ili isionekane nafanya
defamation.
Mwaka 2004 akatumia cheti
chake form four kuomba
degree India kwa kusaidiwa na
mwandishi mmoja mashuhuri
nchini kwa kuwatafutia vyuo
vya nje watu waliofeli.
Na akapata kwa masharti ya
kusoma miaka minne.
Ikumbukwe India ni nchi
yenye vyuo vya hovyo sana
duniani, na ni miongoni mwa
nchi ambazo hata kama una
zero unaweza kusoma
Bachelor bila matatizo yoyote
hadi ukahitimu. Reffer kesi ya
Mr.Andekisye, Lecturer
aliyefukuzwa kazi Arusha
University kwa kusoma elimu
feki India. Andekisye aliajiriwa
kama mhadhiri wa Marketing
na Business Mathematics
akidai ana MBA kutoka India.
Bt ilipofuatiliwa ikagundulika
ni kweli ana Masters bt
hajawahi kusoma Bachelor.
Alichomoka na Diploma yake
ya Ualimu (Mathematics &
Physics) kutoka Monduli TTC
akaaply Masters India akapata
akaenda kujoin. Sasa imagine
mtu anatoka Diploma
anakwenda Masters sembuse
Nape kusoma bachelor?
So akapata degree yake fake
ya psychology ambayo ndiyo
aliyoitumia kuomba masters
mzumbe. Na mzumbe
hakukabidhi cheti zaidi ya kile
cha degree yake ya India.
Kama anabisha aweke vyeti
vyake vya o.lel na a.level
hapa.
Huyo ndiye Nahum Moses
Nnauye anayejiita Nape.
Katibu mwenzezi wa Chama
cha Mapinduzi CCM na
mgombe ubunge ubungo
mwaka 2010, wakati ule
akijaribu kushindana na
genious aliyepata A 9 O.Level
yeye akiwa na D 4 tu.