Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Dah kumbe upo vizuri kaka, ila sasa kule kuropoka ropoka kunatoka wapi? Wakati unaelimu nzuri tu.

Yupo vizuri sana, unafikiri unaweza fananisha na Mnyika? Mzee wa evening class, Mzee wa kuungaunga. Maneno mengi sana. lakini CDM viongozi wenu wengi ni mbumbumbu sana Kama Mbowe, Sugu nk
 
TandaleOne Master of Business Administration na sababu zinazochangia ushiriki wa wapiga kura zina uhusiano gani? Angefanya "Reasons lead to poor performance of public corporations" hii kidogo ingelandana na hiyo master yake @Nnauye Jr


ni masters ya public administration kaka umesoma haraka kama unakimbizwa. Ila nashangaa hiyo masters kaisoma kwa mwaka mmoja tu naona alikuwa kichwa sana. Pia sijaelewa yeye kusoma advance na kumaliza Butimba TTC.
 
Chakachua ya elimu hiyo.....

Ahh wapi huwezi fananisha na Mnyika maana huyo ni mbumbumbu kwa kweli vijana wa CDM wakazane kusoma maana wanatia aibu sana kwa mfano Mbowe form four failure na Sugu ndio kilaza anajua kukatika na kuimba vijembe Kama Hadija Kopa kwenye album yake ya antivirus
 
ni masters ya public administration kaka umesoma haraka kama unakimbizwa. Ila nashangaa hiyo masters kaisoma kwa mwaka mmoja tu naona alikuwa kichwa sana. Pia sijaelewa yeye kusoma advance na kumaliza Butimba TTC.

Muulize Sugu swali hili Kama hajakunyonga
 
ndo kwanza nimetoka kwenye ban ila acha ni tukane shens

Lakini hongera kwa kumlea Hellen vizuri naona mwingine atakuja soon maana ban ilikufanya uwajibike kinyumbani.....maana CDM inakuharibu
 
Hii Cv angekua anakuja kuomba kazi alikuwa anatupwa kabla ya hata kujadiliwa, inaji confuse hovyohovyo, ndo viongozi wa ccm wa sasa ambao hata vyeti wanapeana kwa jina la chama, hovyo kabisa
 
kweli dunia ina mambo.....nani anaifahamu Cv ya muheshimiwa sana...aweke hapa
 
NI UPUUZI MTUPU ULIOANDIKWA, NAPE KUMBUKUMBU ZINAONYESHA NAPE ALIFELI VIBAYA FORM FOUR HATA DEGREE YA YAKE NI KAMA YA JK ( G.P.A MBOVU) gentleman degree. Ni kilaza longtym
 
Yupo vizuri sana, unafikiri unaweza fananisha na Mnyika? Mzee wa evening class, Mzee wa kuungaunga. Maneno mengi sana. lakini CDM viongozi wenu wengi ni mbumbumbu sana Kama Mbowe, Sugu nk
we gamba MNYIKA FORM FOUR ALIKUWA TANZANIA ONE, UWEZO WAKE WA KUFIKIRI NI SAWA NA WABUNGE 50 WA CCM, NANI CCM AMESHA WAHI KUONGOZA KITAIFA HATA MTIHANI WA LA SABA TU??????? NAPE FORM FOUR DIVISION FORM 31
 




[*]Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC

[*]

Mkuu rekebisha hapo. Namfahamu huyu kijana vizuri. Mwaka 1998 - 2000 alikuwa Singida akisoma soma masomo ya jioni na wakati huo huo akisambaza neno la Bwana kwenye mitaa ya mji huo na hatimaye alifanya mtihani wa kidato cha VI mwaka 2000 katika shule ya sekondari Mwenge iliyoko mjini Singida (kivipi sijui maana hata Form Four alipigizwa) na kupata daraja Sifuri (Zero).

Sasa tupe maelezo aliendaje Butimba TTC kipindi hiko hiko? Smelling rat
 
Hii Cv angekua anakuja kuomba kazi alikuwa anatupwa kabla ya hata kujadiliwa, inaji confuse hovyohovyo, ndo viongozi wa ccm wa sasa ambao hata vyeti wanapeana kwa jina la chama, hovyo kabisa

Bora hata umestuka mkuu. Huyu Nape naye ni tapeli wa elimu Tanzania. Nime-note kaonyesha eti kasoma Butimba TTC (evening class) wakati alikuwa Singida na akapata zero.
 
Hongera Nape kwa kuwaacha mbali KIELIMU viongozi waandamizi wa Chadema ambao ni: Mbowe (Form Six), Arfi (Standard Four), Mnyika (Form Six), Nyerere (Form Four), Mr 2 (Form Four)

Umesahau kumtaja Baba Mwanaasha kwenye orodha yako ha ha haaa
 

Mkuu ni kweli unayoyasema. Lakini hili vuvuzela halikuresit. Limeingilia mlango wa uwani hiloo mpaka Masters. Hilo haliwezi kuwa somo kwa vijana kamwe.
 

Mbona Masters ya Mwaka mmoja? Au ndo KANYABOYA?
 
"Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC'
Kaandae upya hii cv ya kuforge, 1998-2000 High School + kuhitimu Butimba TTC ambako ni chuo cha ualimu!!!!!!!!!!!

These guys sacks....yaani jitu na akili zake llinakuja na upuuzi wa namna hii. Unakuja wameipitisha kwa mhusika na yeye alivyo zero kaona yap hii imetulia....1998-2000 mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC.....kumbe miaka hiyo Butimba ilikuwa chuo cha ualimu na wakati huo huo ni secondary ya A level? AMA kweli ukistaajabu ya Musa!
 
MUongo mkubwa weweee diploma gani ya mwaka mmoja? 2002-2003
 
ndo kwanza nimetoka kwenye ban ila acha ni tukane shens

Hahahahah.....aise nimecheka balaa. Dah, ban mbaya sana asikwambie mtu aise hasa ukizoea mavitu ya humu aise ni noma. Epuka sana lugha Kali kiongozi, ban utazipona tu bila shida.
 
ambatanisha na ufaulu wake kuanzia O'Level na A'Level ndio tutaamini lasivyo akaunti feki za jamii forum ndio zinafanya kazi halafu wewe ni nani hadi umtete wakati na yeye ni member humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…