Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye


Suala nyeti sana hilo! Hebu tuwekeeni matokeo ya utafiti wake huo.
 
Huku hakuna Ngudu Seco wala A level ya Butimba TTC

Hata mimi nishangaa sana. Butimba TTC alisomea EGM!? Labda sub-combi hata hivyo kwa umri wake hiyo kitu ilishafutwa. Hata kama ni kudanganya basi kuwe na angalau kaukweli.
 
kwani hakuna watu waliosoma nae watusaidie kwa hili?

Wapo waliosoma nae Nsumba walithibitisha kuwa matokeo ya Form IV alipata Div IV Points 29.
Huko Butimba hakuna mtu aliyesoma naye, pengine alikwenda tuition ya pekeake kwakuwa hakuwa na qualifications za kusoma kidato cha Sita (at least 3 credits). That means hakusoma A-level. Kwakuwa hakusoma A-level hakuna matokeo yake ya A-level. Kizaazaa kinakuja pale unaposkia kuwa amesoma Masters! Ulishaskia Form IV anasoma Masters?
Kwa maelezo zaidi gonga hapa kwenye link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/403537-elimu-ya-nape-nnauye-23-print.html
 

Kwa Cv ya mbowe je alifaa kupewa uenyekiti CHADEMA???
 
Marehemu baba yake nilibahatika kunywa nae mtungi,
Alikuwa anapenda muziki sana.
 
Kwa Cv ya mbowe je alifaa kupewa uenyekiti CHADEMA???
Chadema kachama kadogo hakana hata historia ndefu, plus kuna kuna udikteta wa wazi kabisa ( mf: ni wakati zitto alipotaka kugombea uenyekiti akaghairisha dhamiri kwakua walimsihi ni jambo la mapema sana pia dokta slaa kugombea Uraisi akiwa tu ni Katibu mkuu huku Mwenyekiti wa chama ni mbunge )...Kwahiyo kupima madhaifu ya chadema ili kujustify ubovu wa CCM sio sawa, Chadema sio level ya CCM
 
Una bahati walikuponya China,wenzio wako kwenye list ya kunyongwa,ukirudi tena umekwisha!Mbona tunajuaaa.
Mi form 4 nilipata division 4 ya 31 mwaka 1990 lakini sasaivi nina gari 3.gesthouse 4.na nina kampuni yangu nime ajiri watu kibao na wenye digrii za first class 3.maisha na matokeo tofauti katika dunia hii.
 
Mi form 4 nilipata division 4 ya 31 mwaka 1990 lakini sasaivi nina gari 3.gesthouse 4.na nina kampuni yangu nime ajiri watu kibao na wenye digrii za first class 3.maisha na matokeo tofauti katika dunia hii.
Good for you, ila huna vigezo vya kuongoza
 

Prof.Muhongo is doing a good job believe me;bahati mbaya tu anafanya kazi katika nchi ambayo uwezo wa kufikiri wa watu wake ni mdogo sana,huwezi kumwelewa
 

Pia hawajasema kuwa alijaribu kufanya mitihani ya A-level Mwenge Secondary Singida akiwa kama Private Candidate lakini akachemsha,alikula 0
 
prof.muhongo is doing a good job believe me;bahati mbaya tu anafanya kazi katika nchi ambayo uwezo wa kufikiri wa watu wake ni mdogo sana,huwezi kumwelewa

actions speak louder...!
 
HAPO KWENYE RED....BUTIMBA TTC SI CHUO CHA UALIMU JAMAN...AU TUSEME BUTIMBA TTC SECONDARY SCHOOL?..
kajipange upya urudi tena na kiwango cha ufaulu kwa kila level hasa hasa sekondari


hahhah wakuu inawezekana huyu bwana ali risit katika center ya butiama ttc au alifanya mtihihani kama private candidate hapo unless otherwise uyu ndugu hana elimu ya A Level
 
Vipi hiyo masters naskia alilazimisha na kumtishia supervisor wake pale mzumbe kampani ya dar! Je habari hizi ni za kweli?
 

Tafadhari usijikweze kiasi hicho. Kama kusoma ni kitu kizuri, basi tunaomba Nape akasome. Hajasoma kabisa na kwa kuwa ametamani kudanganya basi hiyo ni ishara tyosha kwamba anatamani kuwa msomi.

Tangu lini Butimba TTC ikatoa mchepuo wa EGM?

Kule India, Nape hakurudi na kitu chochote. Ni kama Riz1 alivyorudi mtupu bila digrii huko UK. Nape alikuwa india akifanya ufuska tu na hakurudi na karatasi yoyote. Ni sawa na aliyejichambia jani la mgomba, utelezi tu bila usafi.

Kama kweli alisoma digrii ya pili Mzumbe, alitumia vyeti vya udanganyifu vya india au Mzumbe kama kawaida yao waligawa cheti cha bure.

Umeombwa nakara za vyeti vya sekondari, labda hivyo vinatia aibu. Mi naomba uweke cheti cha digrii yake ya India halafu tukifanyie kazi.

Hiyo NB yako naomba kufahamu hiyo thesis ya Kivukoni ilikuwa na title ipi kwa lugha halisi ya kiingereza maana haikuandikwa kwa kiswahili. iandike kiuhalisia wake.
 
butima teachers training college TTC.. nnaipe egm chuo cha ualimu!! kweli elimu yako ni ya kipekee!!
 
Sasa hiyo elimu yake mbona hatuioni jukwaani?mbona anaongea madudu tu......apite hivi

Analazimisha kuwa na vyeti, leseni za kutishia watu kumbe hajui elimu siyo cheti, ni ufahamu ulionao. Kwa huyu ufahamu ni mdogo tu ingawa ukimuangalia usoni anaonekana wazi kwamba anahisi amepata kuliko anavyostahili.
 
Diploma mwaka mmoja mmoja, Alafu Butimba kuwa Alevel? mie Mkazi wa mwanza kwa miaka hiyo kilikuwa bado chuo cha walimu
 
Mi form 4 nilipata division 4 ya 31 mwaka 1990 lakini sasaivi nina gari 3.gesthouse 4.na nina kampuni yangu nime ajiri watu kibao na wenye digrii za first class 3.maisha na matokeo tofauti katika dunia hii.

Kumbe we unadhani elimu ni kwa ajili ya kununua magari na kujenga hizo unazoita gesthouse. Hapana! Kwani changu doa hawana magari? Mashoga hawana guesthouse?

Huelewi maana ya elimu. Elimu ni vazi la akili. Hapo ulipo, nakuhakikishia akili yako iko uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…