Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

...

NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika "thesis" iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)

Suala nyeti sana hilo! Hebu tuwekeeni matokeo ya utafiti wake huo.
 
Huku hakuna Ngudu Seco wala A level ya Butimba TTC

Hata mimi nishangaa sana. Butimba TTC alisomea EGM!? Labda sub-combi hata hivyo kwa umri wake hiyo kitu ilishafutwa. Hata kama ni kudanganya basi kuwe na angalau kaukweli.
 
kwani hakuna watu waliosoma nae watusaidie kwa hili?

Wapo waliosoma nae Nsumba walithibitisha kuwa matokeo ya Form IV alipata Div IV Points 29.
Huko Butimba hakuna mtu aliyesoma naye, pengine alikwenda tuition ya pekeake kwakuwa hakuwa na qualifications za kusoma kidato cha Sita (at least 3 credits). That means hakusoma A-level. Kwakuwa hakusoma A-level hakuna matokeo yake ya A-level. Kizaazaa kinakuja pale unaposkia kuwa amesoma Masters! Ulishaskia Form IV anasoma Masters?
Kwa maelezo zaidi gonga hapa kwenye link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/403537-elimu-ya-nape-nnauye-23-print.html
 
shityy CV, ndomana watu wanakichukia chama cha mapinduzi, jitu likiwa na "sauti kubwa" tu linapata wadhifa. Hivi kwa CV mlioitaja hapo inafaa kumpa mtu ukatibu mkuu wa chama chenye wanachama zaidi ya milion 5? elimu yenyewe kaunga unga...kuna certificate hapo imefichwa au imeandikwa kama diploma ( mfumo wa elimu ya bongo unajulikana bana). Hiki chama kingejipendekeza kwa vijana wenye elimu zao ( wapo vijana wana phd yani hata miaka 40 hawajafikisha, doctorate zao zinahusu masuala ya siasa nawajua wengi ) wakakisaidia chama kupanga mikakati kuliko kuweka mijitu yenye sauti kubwa bila vitu kichwani...kama unabisha hilo jamaa sio ubuyu, fanya survey ya watu wangapi ambao sio wanachama wa CCM hua wanamsikiliza akiwa na interview kwene luninga ujionee mwenyewe.

Kwa Cv ya mbowe je alifaa kupewa uenyekiti CHADEMA???
 
Marehemu baba yake nilibahatika kunywa nae mtungi,
Alikuwa anapenda muziki sana.
 
Kwa Cv ya mbowe je alifaa kupewa uenyekiti CHADEMA???
Chadema kachama kadogo hakana hata historia ndefu, plus kuna kuna udikteta wa wazi kabisa ( mf: ni wakati zitto alipotaka kugombea uenyekiti akaghairisha dhamiri kwakua walimsihi ni jambo la mapema sana pia dokta slaa kugombea Uraisi akiwa tu ni Katibu mkuu huku Mwenyekiti wa chama ni mbunge )...Kwahiyo kupima madhaifu ya chadema ili kujustify ubovu wa CCM sio sawa, Chadema sio level ya CCM
 
Una bahati walikuponya China,wenzio wako kwenye list ya kunyongwa,ukirudi tena umekwisha!Mbona tunajuaaa.
Mi form 4 nilipata division 4 ya 31 mwaka 1990 lakini sasaivi nina gari 3.gesthouse 4.na nina kampuni yangu nime ajiri watu kibao na wenye digrii za first class 3.maisha na matokeo tofauti katika dunia hii.
 
Good for you, ila huna vigezo vya kuongoza
 
Tuna wasomi wengi wenye elimu za kutisha, mifano kama ya akina prof muhongo, lakini elimu zao hizo hazilinufaisha taifa hili zaidi ya matumbo yao na familia zao. kama hiyo haina manufaa kwa nchi, kwangu mimi ni USELESS, NI KAMA MTU AMBAYE HAKWENDA SHULE TU.
Nazungumzia 'application' ya hizo CV zao, hazina tija kwa Mama Tanganyika...!

Prof.Muhongo is doing a good job believe me;bahati mbaya tu anafanya kazi katika nchi ambayo uwezo wa kufikiri wa watu wake ni mdogo sana,huwezi kumwelewa
 
shityy CV, ndomana watu wanakichukia chama cha mapinduzi, jitu likiwa na "sauti kubwa" tu linapata wadhifa. Hivi kwa CV mlioitaja hapo inafaa kumpa mtu ukatibu mkuu wa chama chenye wanachama zaidi ya milion 5? elimu yenyewe kaunga unga...kuna certificate hapo imefichwa au imeandikwa kama diploma ( mfumo wa elimu ya bongo unajulikana bana). Hiki chama kingejipendekeza kwa vijana wenye elimu zao ( wapo vijana wana phd yani hata miaka 40 hawajafikisha, doctorate zao zinahusu masuala ya siasa nawajua wengi ) wakakisaidia chama kupanga mikakati kuliko kuweka mijitu yenye sauti kubwa bila vitu kichwani...kama unabisha hilo jamaa sio ubuyu, fanya survey ya watu wangapi ambao sio wanachama wa CCM hua wanamsikiliza akiwa na interview kwene luninga ujionee mwenyewe.

Pia hawajasema kuwa alijaribu kufanya mitihani ya A-level Mwenge Secondary Singida akiwa kama Private Candidate lakini akachemsha,alikula 0
 
prof.muhongo is doing a good job believe me;bahati mbaya tu anafanya kazi katika nchi ambayo uwezo wa kufikiri wa watu wake ni mdogo sana,huwezi kumwelewa

actions speak louder...!
 
HAPO KWENYE RED....BUTIMBA TTC SI CHUO CHA UALIMU JAMAN...AU TUSEME BUTIMBA TTC SECONDARY SCHOOL?..
kajipange upya urudi tena na kiwango cha ufaulu kwa kila level hasa hasa sekondari

hahhah wakuu inawezekana huyu bwana ali risit katika center ya butiama ttc au alifanya mtihihani kama private candidate hapo unless otherwise uyu ndugu hana elimu ya A Level
 
Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye. Taarifa hiyo kwa kiasi kikubwa inapotosha na kueleza yale ambayo si sahihi kuhusiana na CV ya Kiongozi huyo wa Chama cha Mapinduzi; Kutokana na Hilo, nimeona ni jambo la busara kuwasaidia wanajamvi kwa kuwapa CV iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;

  • Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
  • Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu “3” kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
  • Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
  • Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
  • Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
  • Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
  • Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
  • Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
  • Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe.
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika “thesis” iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)
Vipi hiyo masters naskia alilazimisha na kumtishia supervisor wake pale mzumbe kampani ya dar! Je habari hizi ni za kweli?
 
...........
  • Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
  • Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
  • Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
  • Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
  • Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
  • Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
  • Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe.
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika “thesis” iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)

Tafadhari usijikweze kiasi hicho. Kama kusoma ni kitu kizuri, basi tunaomba Nape akasome. Hajasoma kabisa na kwa kuwa ametamani kudanganya basi hiyo ni ishara tyosha kwamba anatamani kuwa msomi.

Tangu lini Butimba TTC ikatoa mchepuo wa EGM?

Kule India, Nape hakurudi na kitu chochote. Ni kama Riz1 alivyorudi mtupu bila digrii huko UK. Nape alikuwa india akifanya ufuska tu na hakurudi na karatasi yoyote. Ni sawa na aliyejichambia jani la mgomba, utelezi tu bila usafi.

Kama kweli alisoma digrii ya pili Mzumbe, alitumia vyeti vya udanganyifu vya india au Mzumbe kama kawaida yao waligawa cheti cha bure.

Umeombwa nakara za vyeti vya sekondari, labda hivyo vinatia aibu. Mi naomba uweke cheti cha digrii yake ya India halafu tukifanyie kazi.

Hiyo NB yako naomba kufahamu hiyo thesis ya Kivukoni ilikuwa na title ipi kwa lugha halisi ya kiingereza maana haikuandikwa kwa kiswahili. iandike kiuhalisia wake.
 
butima teachers training college TTC.. nnaipe egm chuo cha ualimu!! kweli elimu yako ni ya kipekee!!
 
Sasa hiyo elimu yake mbona hatuioni jukwaani?mbona anaongea madudu tu......apite hivi

Analazimisha kuwa na vyeti, leseni za kutishia watu kumbe hajui elimu siyo cheti, ni ufahamu ulionao. Kwa huyu ufahamu ni mdogo tu ingawa ukimuangalia usoni anaonekana wazi kwamba anahisi amepata kuliko anavyostahili.
 
Diploma mwaka mmoja mmoja, Alafu Butimba kuwa Alevel? mie Mkazi wa mwanza kwa miaka hiyo kilikuwa bado chuo cha walimu
 
Mi form 4 nilipata division 4 ya 31 mwaka 1990 lakini sasaivi nina gari 3.gesthouse 4.na nina kampuni yangu nime ajiri watu kibao na wenye digrii za first class 3.maisha na matokeo tofauti katika dunia hii.

Kumbe we unadhani elimu ni kwa ajili ya kununua magari na kujenga hizo unazoita gesthouse. Hapana! Kwani changu doa hawana magari? Mashoga hawana guesthouse?

Huelewi maana ya elimu. Elimu ni vazi la akili. Hapo ulipo, nakuhakikishia akili yako iko uchi
 
Back
Top Bottom