Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

neppi naunye ana elimu ya kufoji kama ya nchimbi na lukuvi
 
Hapo mwaka 1998-2000 Butimba TTC, ulimaanisha alisoma ACSEE kama mtahiniwa wa Shule au Wakujitegemea (PC)? Hebu weka sawa hapo.
 
Butimba teacher's Collage haijawahi kufundisha advanced secondary level, ni kilikuwa ni kituo cha reseaters, hapo kwenye EGM Butimba TC panahitaji majibu mzuri.
 
Mtoa mada amerudi kumuuliza aliyemtuma wafanye nini kujinasua na hili la Butimba TTC.
 

Ndiyo maana huwa anaongea uharo, pindi anapozungumza iwe kweny Press Confrence or Mass Conference.

Elimu yake ya Ngumbaro, bring the results for each Level of the Education.
 
Elimu yake hii ya kuungaunga na super glue ndo ilimfanya apate kiburi cha kuhoji elimu ya Mnyika duuh!
Alikuwa wa ngapi kimkoa std 7 na alikuwa na A ngapi form 4 pia form 6 alikuwa na division gani?
 
Mtoa mada na aliyekutuma;
 

Attachments

  • 1421401773628.jpg
    11.2 KB · Views: 500

Samahani wadau wakati hii thread inaletwa nilikuwa sijazaliwa; hata hivo nimepita hapa nikakutana na hiki kitu. Hivi mleta mada hapo kwenye red unamaanisha nini? Hakukuwa na hakuna A-level Butimba TTC au hiyo ulikuwa na maana ya kituo cha mtihani kama mtahiniwa binafsi? funguka aisee!!
 

Jamaa alikuwa miongoni mwa slow learners, kumbe mdogomdogo!
 
Ndiyo maana huwa anaongea uharo, pindi anapozungumza iwe kweny Press Confrence or Mass Conference.

Elimu yake ya Ngumbaro, bring the results for each Level of the Education.

Hiyo ya Butimba EGM, never heard
 
Hapo mwaka 1998-2000 Butimba TTC, ulimaanisha alisoma ACSEE kama mtahiniwa wa Shule au Wakujitegemea (PC)? Hebu weka sawa hapo.

Ninachojua miaka hiyo nape alikuwa anasoma mwenge Singida PCB na gazeti la Rai 2000's liliweka historia yake pamoja na picha yake na mama yake wakati huo alikuwa anasoma diplomasia
 
Nape kiboko. Aliandika thesis akiwa anasoma diploma kivukoni????????????????!!!!!!!!!!¡!!!!!!!¡¡¡¡¡¡
 
  • Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
  • Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC

naomba maelezo zaidi

Kwa Nilivyoelewa Mm Jamaa Atakuwa Amefanya Kidato Cha Sita Kama Mtahiniwa Wa Kujitegemea,na Butimba Ni Kituo Cha Mitihani Ya Baraza(necta),na Ni Hali Iliyokuwepo Cku Nyingi Tu.Hata Kama Una Mwanao Kichwan Yuko Vzur Anaweza Pta Njia Hyo Kwan Huwa Fupi Sana.
Drs I- VII=miaka 4
Kd I- IV=miaka2
Kd V- VI=mwaka 1na Chuo Anaweza Piga OUT Miaka 2 Akatunukiwa Shahada Yake,hvyo Haishangazi Sana.
 
Dah! Jamaa ni msomi kweli kama Prof Muhongo vile!... Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC? ... Grrrrrrrrrrrrrrrrrr kumbe ndo maana hata kuzungumza sentensi moja iliyokamilika ni shidaaa
 

Mbona hujatutajia ni mtoto wa ngapi ktk familia na amezaliwa mkoa gani , babake ni mtu wa mkoa gani? Umeibukia darasa la kwanza tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…