Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye


Tunaomba jina halisi na ukoo wa baba yake pia na kabila la baba yake pls.
 
Alizaliwa mwaka gani????.

Pia mim naona hii sio CV ni Kumbukumbu zake kimasomo tu, hata hvyo hazijakamilika kwa kua hujaweka Ufaulu wa kila Ngazi ya Elimu... Halafu kwa nini sasa na sio siku kadhaa nyuma? Usitutoe kwenye Reli acha tufike Kigoma
 
Mkuu kwa matokeo hayo ni lazima aende kusoma masomo ya Advance chuo cha Ualimu kwa kuwa kule kuna walimu wengi. hivi huyo angeenda shule yenye walimu 10 unadhani wangeweza kufanya kitu?


Tuanzie hapa form 4

NAPE NNAUYE
SEX M DIV IV PTS 29 KISW D HIST D GEOG D ENGL F B/MATH F BIOL D CHEM D PHY D CIV F
-----------------------
JOHN MNYIKA
SEX M DIV I PTS 7 PHY A CHEM A BIOL A CIV A ENGL A GEOG A HIST A B/MATH A KISW A B/KNOW A
 
Nchi hii inahitaji kusoma sana hao wasomi wenyewe hawana lolote wanalolifanya
 
Mwaka 2002-2003 nilikuwa Centre for Foreign Relations & Diplomacy. Sikuwahi kumwona Nape, labda kama alisomea nyumbani.
 
Nchi hii inahitaji kusoma sana hao wasomi wenyewe hawana lolote wanalolifanya
Mbona hueleweki agwe?Kama unafikiri kusoma hakuna maana hebu jilinganishe wewe kilaza na waliohudhuria madarasa.Au kwa maneno mengine kama elimu haina maana basi jaribu ujinga.
 
Anaomba kazi? Hii CV ya nini? Hizi diploma za mwaka mmoja mmoja Duhhhh.

mmmm kumbe na wew umeziona Diploma mwaka mmoja duuuuuu:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces: Izo ni certificate cio diploma uyo alioandika kaamua kurefusha izo shule ili Cv ikue
 
...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....
 
Shule za kuunga unga kama super glue!

Nadhani tumpongeze pia tumchukulie mfano kwa wadogo zetu ambao wanafeli au wanapata alama za chini wanakata tamaa na kuona ndio basi kumbe kuna njia kibao unatakiwa kupita mpaka kufika juu
 
Magumashi kama ilivyo Ph.D ya Nchimbi na Masters ya Lukuvi. Nchi imefika mahali watu wameanza kuinajisi elimu. Tuendako ni kubaya zaidi. Malengo ya Open University yalikuwa mazuri, bahati mbaya wanasiasa wameona ndio mahali pa kubadili titles zao. Tusubiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…