WANA JF,
Nimeikuta mahali hii je ina ukweli wowote?
_________________________________________
Nimeamua kueleza ukweli huu
baada ya kuona upotoshaji wa
makusudi unaoendelea humu.
Kuna mtu kajitokeza kujibu elimu
ya Nape wengi wakahoji kwani
Nape yuko wapi asijitokeze
mwenyewe kujibu kama alivyofanya
Mnyika?
Naomba mfahamu aliyejibu ni
Nape mwenyewe kwa kutumia ID ya
bandia, lakini amekuwa mno too
radical hadi watu wakamshtukia.
Lakini hoja sio kuwa radical, au
kutumia ID bandia, hoja ni kuwa
amefanya upotoshaji wa makusudi
uliotuacha mdomo wazi wale
tunaomfahamu.
Sasa ukweli
kuhusu elimu ya Nape huu hapa.
Mwaka 1993 alifeli darasa la saba.
Wakati ule jina halali la Nape
akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma
nae wanakumbuka. (japo inadaiwa hatj Mzee Moses Nnauye hakua baba yake wa damu maana baba yake ni Prof.Mark Mwandosya).
Bt akafanyiwa
mpango na kupewa jina la Nape
Mkumbo Nyagicha mtoto masikini
wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini
familia yake haikuwa na uwezo wa
kumsomesha.
Mwaka 1994 Nahum Nnauye
akajiunga na shule ya sekondari ya
kutwa Ngudu wilayani Kwimba
akiwa na jina jipya la Nape. Mwaka
1995 akahamishiwa shule ya
Sekondari Nsumba kwa kutumia
title ya baba yake Mzee Moses
Nnauye.
Mwal 1997 akafeli form four kwa
kupata division four ya point 29
akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat
mara 2 bila mafanikio pale Butimc
TTC ambacho ni kituo cha
watahiniwa binafsi.
Mwaka 1999 na
mwaka 2000.
Akakata tamaa na hatimaye mwaka
2001 akaamua kwenda kusoma
cheti cha Uhazili (cert of
secretarial services) katika chuo
cha Kivukoni.
So kabla sijaendelea
naomba ieleweke kuwa Nahum
Moses Nnauye (Nape) hajawahi
kusoma form 5 shule yoyote
duniani. Kama anabisha aje hapa
tumuulize maswali ya Geography 1
au Ecomics 2 uone
atakavyochanganyikiwa. Kwanza
hajui kama kuna paper 1 na 2
A.level, atasemaje amesoma
A.level?
So akatumia cheti chake cha
uhazili kuomba diploma pale chuo
cha Diplomasia kurasini. akapata
na akaanza kusoma. Mwaka mwaka
2002 akafeli kuendelea na 2nd year
baada ya kupata suplimentary 4
ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma.
So kwa kifupi akadsco.
Hivyo
naomba ieleweke kuwa huyu jamaa
anayejiita Nape hajawahi
kutunukiwa diploma yoyote kutoka
Chuo cha Diplomasia Kurasini.
Kwanza asikidhalilishe chuo maana
pale hakuna Diploma ya mwaka
mmoja. kama anabisha aupoad
picha yoyote hapa alipokuwa
anatunukiwa hiyo diploma.
Grace Mwasonge unamkumbuka
Nape vzr maana alikuwa classmate
wako wakati huo. So najua uko
humu japo kwa ID tofauti naomba
ujitokeze kudhibitisha ili
isionekane nafanya defamation.
Mwaka 2004 akatumia cheti chake
cha form four kuomba degree India
kwa kusaidiwa na mwandishi
mmoja mashuhuri nchini kwa
kuwatafutia vyuo vya nje watu
waliofeli.
Na akapata kwa masharti ya
kusoma miaka minne. Ikumbukwe
India ni nchi yenye vyuo vya hovyo
sana duniani, na ni miongoni mwa
nchi ambazo hata kama una zero
unaweza kusoma Bachelor bila
matatizo yoyote hadi ukahitimu.
Reffer kesi ya Mr.Andekisye,
Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha
University kwa kusoma elimu feki
India. Andekisye aliajiriwa kama
mhadhiri wa Marketing na
Business Mathematics akidai ana
MBA kutoka India.
Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni
kweli ana Masters ya MBA bt
hajawahi kusoma Bachelor.
Alichomoka na Diploma yake ya
Ualimu (Mathematics & Physics)
kutoka Monduli TTC akaaply
Masters India akapata akaenda
kujoin. Sasa imagine mtu anatoka
Diploma anakwenda Masters
sembuse Nape kusoma bachelor?
Nape akapata degree yake fake ya
psychology ambayo ndiyo
aliyoitumia kuomba masters
mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi
cheti zaidi ya kile cha degree yake
ya India.
Kama anabisha aweke vyeti vyake
vya o.lel na a.level hapa.
Huyo ndiye Nahum Moses Nnauye
anayejiita Nape. Katibu mwenzezi
wa Chama cha Mapinduzi CCM na
mgombe ubunge ubungo mwaka
2010, wakati ule akijaribu
kushindana na Genious aliyepata A
9 O.Level yeye akiwa na D 4 tu.