Hii ndio dawa ya ma - Ex

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Furaha ya EX wako aliyekuumiza makusudi ni
kukuona UMEUMIA...UNALIA...UMEKATA
TAMAA...HUNA FURAHA...Kwake ni Sherehe kubwa
kuliko demu wa Kipare aliyepata Mchumba wa
kumuoa
Ukitaka kummaliza ni kuharibu sherehe yake kwa kumuonyesha UNA RAHA KULIKO MWANZO....UNA
FURAHA...UMENENEPA...HIPS ZIMEKUA...UNANG'AA...na kubwa zaidi UMESONGA MBELE Ipo siku
yatamshinda na atajikuta tu ameshoboka na
kudondokea kwenye Inbox yako na GHAFLA utakuta
ujumbe wa kibwege kabisa umeandikwa,''Hi,Za masiku...Nimekumiss sana.JAna nimepishana na mtu
ananukia kama wewe nikakukumbuka sana''
Kwahiyo nifanyeje???UNGEMNUSA BASI....Upatapo
meseji kama hizo unajua kabisa huko alipo Bodaboda
haivuki Boda,Tumia kauli-mbiu ya TCRA,FUTA DELETE
KABISA! Usimpe nafasi adui yako kukuona umeinama, Mharibie
Sherehe!
-
STUNTER KASEMA..!!!
 
ukiona hivyo unatakiwa kumsamehe tu lkn ukae mbali nae na sio kutengeneza chuki haina maana
 
Hakuna jibu linaumiza mtu umesoma sms halafu humjibu! Hahahahhaa nasikiaga raha sana (kwa m baya wangu lakn) sms elfu no reply!

Mmoja alishawahi omba japo nimuongeze sala ya toba ili awe na amani! Hahaha hahaha
 
At this age I am proud to say I love ma exes. They taught me life lessons, I take those break ups positively. Ooh, those good old days!. Sijui wako wapi na sitaki kujua, kama kuna waliotangulia mbele ya haki may they rest in eternal peace na kwa walioko hai nawatakia maisha mema.
 

Imagine! I love and respect ma exes and ma current ONES. Ooh, I am blessed, God is good!
 
We mademu wako wote uliowapitia uliwakuta na bikira?
 
PUMBAVU...
MA EXES AND CURRENT ONES..
WHETHER NI WAMEO AU MA HAWARA ZAKO I DON'T CARD, WOTE MABOYA TUU...
MWANAUME UNA AKILI TIMAMU UTAKUAJE IN RELATION NA MWANAMKE MWENYE PAPUCHI TEPETEPE BANA?????

UBOYA HUO.

#Chief Eng

Hahahaa. Huu mchezo hauhitaji hasira. Ingekuwa mwanaume mngemsifia. Tuliza munkari.
 
How far are you sure? Don't trust a woman my friend
 

Assume exes stands for first love-first boyfriend A at 20; married to B at 24 and divorced, boyfriend C after at 26, married again at 29 and divorced, E boyfriend E at 33; current F from 42 todate and mtongozaji G huyu anaetongoza for the past 10 yrs, hivyo anakua rafiki but not intimate.

Kama umeshaishi miaka zaidi ya hamsini duniani, how can you regret about that? Watu umekua close nao for two or more years there must be good, bad and funny unimaginable things you did together. So why hate wakati mlishapendana? Is hate another way of loving?

Just thinking aloud so guys like you can live reality , the world isnt revolving around you, therefore life cant go as you want. Life can be good, bad and ugly sometimes so do judge or hate. Live, laugh and love to the fullest, yolo!
 
Kwani wingi unaanzia ngapi?? eti wawili tu... Sasa wawili ni umoja??

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kweli kabisa,mimi nina ushuhuda ( i can testify)!! Tehe tehe,God is good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…