The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Wanasema umeanza kuharibikiwaAiseee imenibidi nicheke tu maana sijawahi sikia[/QUO
Watu wa majuu bwana mtu akianza kunywa bia kumi kwa siku tayari anapelekwa rehab wakati bongo mtu anakata hata ishirini kila siku na yuko fiti na kazini anaenda. kweli ulaya hamnazo
Aisee yaani mtu unakuwa mpole kabisa hauthubu hata kuita ile ya pssss psss pssssakikatiza wa hivyo na nipo broke hasira ndo zinanizidia
najua nikimsemesha halafu akihitaji starehe kimeo...
Huyo ni Not Enough bana thanx mamii upo weweHiyo siyo depression ni apprehension na inatokana na weakness katika mambo fulani, either kuna vitu unataka kufanya lakini unashindwa. Kwa haraka haraka ningekushauri uangalia mahusiano yako ya kimapenzi, kifamilia na kazini.
Kwani umeishiwa tayari na mwisho wa mwenzi ndo kwanza unaingia?hebu jaribu nione
Dah!! Huo ushauri alioutoa NOT ENOUGH kama vile ni mnajimuHuyo ni Not Enough bana thanx mamii upo wewe
Kwani umeishiwa tayari na mwisho wa mwenzi ndo kwanza unaingia?
Anaweza akawa anazo zake mkastarehe kama kawaida
hayo ya binamu hayakuweza kunitoka cause kila wakati namuona kwenye mambo ya kifamily, i hope mungu kampa tayari adhabu yake huko alipo.ila hayakuwa yananisumbua sana akiliUnsolved business...NOT GOOD!Fanyia kazi umalizane na ya kale...kuyazika hakuyamalizi!
hayo ya binamu hayakuweza kunitoka cause kila wakati namuona kwenye mambo ya kifamily, i hope mungu kampa tayari adhabu yake huko alipo.ila hayakuwa yananisumbua sana akili
No more kuishiwa eh?Kwa hali hiyo utaambiwa hayo maneno all year long!nazungumzia enzi hizo
siku hizi sihishiwi
Not when your with me, nitai build tu, au mpaka wallet uishike wewe?
No more kuishiwa eh?Kwa hali hiyo utaambiwa hayo maneno all year long!
hayo ya binamu hayakuweza kunitoka cause kila wakati namuona kwenye mambo ya kifamily, i hope mungu kampa tayari adhabu yake huko alipo.ila hayakuwa yananisumbua sana akili
Huyo ni Not Enough bana thanx mamii upo wewe
Dah!! Huo ushauri alioutoa NOT ENOUGH kama vile ni mnajimu
Ngoja nifanye mchakatoYuko juu ni vile tu anajitoa akili mara nyingine, ushauri mzuri sana