Hii ndio depression au nini wandugu

Hii ndio depression au nini wandugu

akikatiza wa hivyo na nipo broke hasira ndo zinanizidia
najua nikimsemesha halafu akihitaji starehe kimeo...
Aisee yaani mtu unakuwa mpole kabisa hauthubu hata kuita ile ya pssss psss pssss
 
Hiyo siyo depression ni apprehension na inatokana na weakness katika mambo fulani, either kuna vitu unataka kufanya lakini unashindwa. Kwa haraka haraka ningekushauri uangalia mahusiano yako ya kimapenzi, kifamilia na kazini.
Huyo ni Not Enough bana thanx mamii upo wewe
 
akikatiza wa hivyo na nipo broke hasira ndo zinanizidia
najua nikimsemesha halafu akihitaji starehe kimeo...
Anaweza akawa anazo zake mkastarehe kama kawaida
 
Unsolved business...NOT GOOD!Fanyia kazi umalizane na ya kale...kuyazika hakuyamalizi!
hayo ya binamu hayakuweza kunitoka cause kila wakati namuona kwenye mambo ya kifamily, i hope mungu kampa tayari adhabu yake huko alipo.ila hayakuwa yananisumbua sana akili
 
hayo ya binamu hayakuweza kunitoka cause kila wakati namuona kwenye mambo ya kifamily, i hope mungu kampa tayari adhabu yake huko alipo.ila hayakuwa yananisumbua sana akili

gaga hebu ni pm
unieleze zaidi kuhusu huyo mtu
nipo shocked unajua?
 
hayo ya binamu hayakuweza kunitoka cause kila wakati namuona kwenye mambo ya kifamily, i hope mungu kampa tayari adhabu yake huko alipo.ila hayakuwa yananisumbua sana akili

Kama bado una donge moyoni kumwona kila mara kunakukosesha furaha!Kabiliana nayo uyamalize ndani ya moyo wako ili upate amani.Natamani ningeweza kukusaidia..!
 
Back
Top Bottom