Hii ndio depression au nini wandugu

Finest vipi pasaka? Ni PM basi!!!!
Ujue nilikuwa nakusubiria wewe hapa Pasaka unataka kwenda wapi? Oppss usiseme hapa utaniambia chumbani ukisema hapa watu wanaweza waidaka halafu wakakuchukua juu kwa juu
 

...ha ha ha! imebidi nicheke tu wazee. Kwani kuwa broke si ni kosa lako menyewe bana?
'Matumizi yamezidi kipato?' kwani hukujipangia bajeti? au ni matokeo ya double-dip Recession na inflation?

The Finest, Kwangua Credit Cards hizo, wakidondosha Bills kimbiza kwa friji zikapoe kwanza.
Mwisho wa mwezi una defer payments.
Hata waliokuwa Milionnaires wana claim Bancruptcy...kisha unaanza upya kujenga Credit Score.

Huwezi amini halafu aliye niabuse alifariki majuzi kwenye msiba badala ya kuhuzunika nilikuwa nafurahi

...Sad, Unfinished Business.
 
Kama bado una donge moyoni kumwona kila mara kunakukosesha furaha!Kabiliana nayo uyamalize ndani ya moyo wako ili upate amani.Natamani ningeweza kukusaidia..!
Hata haya mawazo unayonipa ni saada sana ykizidi nitamwona specialist
 
Ahaaaa ahaaaa mkuu unazidi kunipa maumivu
 
Reactions: Mbu
Mbu halafu leo unarukaruka sana unajificha wapi au ndio kule ambako hatuingii wengine?
 
Reactions: Mbu

ubarikiwe..
nawe pasaka njema
 
ubarikiwe..
nawe pasaka njema
Mimi Ni mkristoooooooooo...... nimeokokaaaaaaaaaa......... nimesamehewaaaaaa...... makosa yanguuuuu.....
ni mwimbo huo dedication kwako
 
kwel inatokeaga hal kama hyo nikionaga hali kama hii inanitokea mara nyng huwa ninafanya mazoez na kuisha kulala mana huwa inasababishwa na uchovu au kukaa sana kufikiria ki2 au vi2 ving hvyo huwa ninapenda kufanya mazoez ili niuforce mwl uchoke wote nilale niamke nikiamka ninajikuta mwl upo flesh na mawazo yanatatuka fasta dhat iti mamaa
 
jina la MBU linahusika kwenye hii sredi, sizani kama ni depression hii. sitofafanua zaidi, wale wataalam wa lugha za vifupisho, sijui abbreviations watakuwa wamenielewa. asanteni sana
 
jina la MBU linahusika kwenye hii sredi, sizani kama ni depression hii. sitofafanua zaidi, wale wataalam wa lugha za vifupisho, sijui abbreviations watakuwa wamenielewa. asanteni sana

HA HA HA, Umeanza sasa!
 

1, POLE SANA GAGA,

Mi nahisi , ni kweli una dalili au niseme tayari una msongo wa mawazo,
Jaribu kufanya safari ya kwenda mahali mbali na nyumbani ukakae huko kwa siku kadhaa, pili amua kwenda peke yako kama unaona utafurahi zaidi,au nenda mume wako kama utaona utafurahi pia.KUjitenga na mazingira ya nyumbani wakati mwingine inasaidia sana.
2, pia si vibaya ukiwaona hata wanasaikolojia, wanaweza kukutatulia tatizo lako,pia baada ya kuongea na wewe kwa muda mrefu lazima watajua tatizo lako.

Hongera pia kwa kujitambua na kuona kuna kitu hakiko sawa kwako, ni vizuri sana kujitambua na kujua wapi unaona hapako sawa.
upendapo
 
HA HA HA, Umeanza sasa!
hehehe kamanda hili jina lako ni multitask na nina hakika umelichagua kwa mantiki ya kutuambiguity lakini mie acha nikae kimya tu na nijifanye kukuita mbu wa moskwito. Nina uhakika kwa upande mmoja jina lako limebeba jibu la hii sred. lol
 
Reactions: Mbu
Nashukuru kwani tayari niko mbali tangu wednesday najaribu kutafakari mpaka hii holiday iishe
 
hehehe kamanda hili jina lako ni multitask na nina hakika umelichagua kwa mantiki ya kutuambiguity lakini mie acha nikae kimya tu na nijifanye kukuita mbu wa moskwito. Nina uhakika kwa upande mmoja jina lako limebeba jibu la hii sred. lol
Una uhakika Mbu ndio tiba kloro? thibitisha bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…