1, POLE SANA GAGA,
Mi nahisi , ni kweli una dalili au niseme tayari una msongo wa mawazo,
Jaribu kufanya safari ya kwenda mahali mbali na nyumbani ukakae huko kwa siku kadhaa, pili amua kwenda peke yako kama unaona utafurahi zaidi,au nenda mume wako kama utaona utafurahi pia.KUjitenga na mazingira ya nyumbani wakati mwingine inasaidia sana.
2, pia si vibaya ukiwaona hata wanasaikolojia, wanaweza kukutatulia tatizo lako,pia baada ya kuongea na wewe kwa muda mrefu lazima watajua tatizo lako.
Hongera pia kwa kujitambua na kuona kuna kitu hakiko sawa kwako, ni vizuri sana kujitambua na kujua wapi unaona hapako sawa.
upendapo