Habari wana JF wenzangu, kuna kitu kinanitatiza sijui kinasababishwa na nini, kila nachofanya nahisi kuna kitu kina miss, najaribu kula chakula nikipendacho bado nahisi sijaridhika, najaribu kuwa karibu na family steel im feeling lonely, najaribu kufanya shoping nisikie raha wapi! making love every now and then bado tu siridhiki na roho yangu, nisaidieni ni nini inasababisha hali hii? au kazi nyingi? au ndio depression magonjwa ya kizungu hatujayazoea mwenzangu, naombeni ushauri. najua humu huwa hakiaribiki kitu
Thanx asha niko bomba kabisaGaga wa JF wameongea mengi mazuri ambayo I hope mpaka sasa walau u ar slowly coming back to Ur normal self. There is a saying that "WHEN YOU DON'T COME ACROSS ANY PROBLEMS YOU CAN BE SURE THAT YOU ARE TRAVELLING IN A WRONG PATH"
R u sure
Duh baba Enock huko mbali sana niko between 30 - 35 ahsante kwa ushauri
Mwenzangu nauliza maana wengine wanajoke tu! ila huwezi amini tangu nimesema hapa nahisi kama wepesi fulani hivi...shughuli! 'jitolee' bana,
ushaambiwa hilo sio tatizo kubwa, 'he' knows how to make Canceling
halafu wewe unauliza "R U Sure," LOL!
mhhhh nipe reference kwanza we umejuaje na wewe ni mwanaume?hiki kipindi nasikia wanawake wanakuwa kwenye peak kwenye mambo ya 6 kwa 6 so ongeza juhudi hapo, pia angalia mahusiano yako na mwenzio yamekaaje, kweli deep down hakuna tatizo?
mhhhh nipe reference kwanza we umejuaje na wewe ni mwanaume?
Kuwa makini na mapopo bawa dada anguR u sure
Hee Kaizer niponipo kamuda kafupi ila posts zako nyingi nimesoma, unless uniambie unapostigi uongo.dah,...mi sisiomagi majournal so hapo unanionea, ni umbea wa kijiweni tu gaga, ili mradi siku iende, u feel better now? Afu umejuaje mi mwanaume?
Hee Kaizer niponipo kamuda kafupi ila posts zako nyingi nimesoma, unless uniambie unapostigi uongo.