Hii ndio depression au nini wandugu

Hii ndio depression au nini wandugu

tuonane nikupe maneno ya faraja dear,i know how to make canceling...hili sio tatizo kubwa,mtu wako wa karibu hajui kazi yake..!!
 
Habari wana JF wenzangu, kuna kitu kinanitatiza sijui kinasababishwa na nini, kila nachofanya nahisi kuna kitu kina miss, najaribu kula chakula nikipendacho bado nahisi sijaridhika, najaribu kuwa karibu na family steel im feeling lonely, najaribu kufanya shoping nisikie raha wapi! making love every now and then bado tu siridhiki na roho yangu, nisaidieni ni nini inasababisha hali hii? au kazi nyingi? au ndio depression magonjwa ya kizungu hatujayazoea mwenzangu, naombeni ushauri. najua humu huwa hakiaribiki kitu

Gaga wa JF wameongea mengi mazuri ambayo I hope mpaka sasa walau u ar slowly coming back to Ur normal self. There is a saying that "WHEN YOU DON'T COME ACROSS ANY PROBLEMS YOU CAN BE SURE THAT YOU ARE TRAVELLING IN A WRONG PATH"
 
Thanx asha niko bomba kabisa
 
...shughuli! 'jitolee' bana,

ushaambiwa hilo sio tatizo kubwa, 'he' knows how to make Canceling
halafu wewe unauliza "R U Sure," LOL!
 
Duh baba Enock huko mbali sana niko between 30 - 35 ahsante kwa ushauri

hiki kipindi nasikia wanawake wanakuwa kwenye peak kwenye mambo ya 6 kwa 6 so ongeza juhudi hapo, pia angalia mahusiano yako na mwenzio yamekaaje, kweli deep down hakuna tatizo?
 
...shughuli! 'jitolee' bana,

ushaambiwa hilo sio tatizo kubwa, 'he' knows how to make Canceling
halafu wewe unauliza "R U Sure," LOL!
Mwenzangu nauliza maana wengine wanajoke tu! ila huwezi amini tangu nimesema hapa nahisi kama wepesi fulani hivi
 
hiki kipindi nasikia wanawake wanakuwa kwenye peak kwenye mambo ya 6 kwa 6 so ongeza juhudi hapo, pia angalia mahusiano yako na mwenzio yamekaaje, kweli deep down hakuna tatizo?
mhhhh nipe reference kwanza we umejuaje na wewe ni mwanaume?
 
mhhhh nipe reference kwanza we umejuaje na wewe ni mwanaume?

dah,...mi sisiomagi majournal so hapo unanionea, ni umbea wa kijiweni tu gaga, ili mradi siku iende, u feel better now? Afu umejuaje mi mwanaume?
 
dah,...mi sisiomagi majournal so hapo unanionea, ni umbea wa kijiweni tu gaga, ili mradi siku iende, u feel better now? Afu umejuaje mi mwanaume?
Hee Kaizer niponipo kamuda kafupi ila posts zako nyingi nimesoma, unless uniambie unapostigi uongo.
 
Hee Kaizer niponipo kamuda kafupi ila posts zako nyingi nimesoma, unless uniambie unapostigi uongo.

mmmhh...ngoja kwanza ukiamka nitajua cha kukwambia....:sleepy::A S 465:
 
Dear sina joke na ninachonena,mi ninapoandika hapa nipo serious zaidi na tatizo linalokusibu.You will know that is sure when yopur getting the perfect treatment that your missing.Take a chance my dear Gaga.
 
....shiriki michezo baada ya saa za kazi,hutawakuwa hivyo hata kidogo na ukimaliza kagiza keshaingia na uko hoi,unaoga unakula unalala walah ukijastuka kesho asbh.....!!then routine inakuwa hivyo hivyo,daily,u wil c
 
Back
Top Bottom