Hii ndio depression au nini wandugu

Hii ndio depression au nini wandugu

Pole sana Gaga.ni kipindi cha mpito,kuwa karibu na Mungu wako,mwambie yote yaliyo kwenye nafsi yako,atakupa amani!
 
kama alivyosema TF hapo juu
potezea...yaani dont think too much about it
Usikae na kuwaza kwamba kuna kitu kinakusumbua
ikatae hiyo hali na jitahidi kuenjoy kila unachofanya
Happy Easter!
Poa daughter ubarikiwe happy Easter
 
Why don't you go and spend sometime kutembea at Holland Park au vile vile Kensington na Bayswater

...na leo jua limetoka kweli kweli, hebu Gaga nenda ukafurahie weather.
 
Pole sana Gaga.ni kipindi cha mpito,kuwa karibu na Mungu wako,mwambie yote yaliyo kwenye nafsi yako,atakupa amani!
Thanx mamii kwa ushauri tafanya hivyo
 
inawezekana uko na mtu ambaye hajakugusa moyoni
so hata ufanye nae nini
emptiness ipo tu....

hebu try me uone....
 
Inawezekana kuna kitu kinakusumbua japo mwenyewe hukitambui (not aware)..inawezekana ni kitu umefanya au kitu hujafanya..unataka au unatamani!Jaribu kujichunguza na kujiangalia pamoja na walio karibu yako.Kama upungufu unaohisi hauhusiani na chakula hata ule pesa hutohisi kuridhika!Jitahidi ujue jinsi ya kujiridhisha usije ukaanza kununa nuna hovyo!

exactly
au kuna kitu cha utotoni hivi
a trauma hivi...
au bad memory hivi
 
inawezekana uko na mtu ambaye hajakugusa moyoni
so hata ufanye nae nini
emptiness ipo tu....

hebu try me uone....
Nitakuweza wapi mzee wa mizigo, ngoja nikirudi china naweza compete nao
 
Yaani kununa ndio nafanya sasa hivi kitu kidogo nashout, inabidi nikae nitulie nijichunguze
Ndo ubaya wakusema uipotezee hiyo hali.Omba ...chukua muda kidogo kwaajili yako mwenyewe utafakari!
 
exactly
au kuna kitu cha utotoni hivi
a trauma hivi...
au bad memory hivi
Utotoni....kilikuwepo, a trauma ..... , bad memory zipo na zitaendelea kuwepo, kwanini maumivu yasijisome nijue nateseka na nini?
 
Utotoni....kilikuwepo, a trauma ..... , bad memory zipo na zitaendelea kuwepo, kwanini maumivu yasijisome nijue nateseka na nini?


basi hilo ndo tatizo lako
unahitaji kumuoana a specialist
 
basi hilo ndo tatizo lako
unahitaji kumuoana a specialist
Kuna mtu kani PM eti niende rehab, tehetehe yaani nimechekaje? hivi na sie waswahili tunaendaga huko rehab?
 
exactly
au kuna kitu cha utotoni hivi
a trauma hivi...
au bad memory hivi

...umekwenda deep! Maisha yanatufundisha ku shove - unsolved problems - away!
The 'best remedy' is to pluck it out, solve and put an end to it!...
Kinyume na hapo tunaendelea kujidanganya kitamalizika chenyewe,...
Circle ikimalizika, stress zinarudi pale pale.
 
Kuna mtu kani PM eti niende rehab, tehetehe yaani nimechekaje? hivi na sie waswahili tunaendaga huko rehab?

kama una bad memory za utotoni usifanye mzaha
hospitali ya tumaini upanga wanae specialist
 
Back
Top Bottom