Hii ndio expereince yangu kwa mwaka mmoja na Mazda CX-5

Hii ndio expereince yangu kwa mwaka mmoja na Mazda CX-5

Hapana kaka,
Mi nliona nichukue chips kavu.
Safi sana mkuu...
Naona watu wengi wamenunua hiyo chips kavu ingawa Mimi napenda Sana kutunisha misuli nikaona Bora niende na XT...
Nitajitahidi Sana kutumia oil Sahihi za Castrol oil na filter za Bosch Kwa miaka yote,Kwa utunzaji wa magari huwa najitahidi Sana
 
MAZDA Iko stable sana hasa zile za AWD maana mie zilikona za kutoka mageti ya darajani kuelekea uhasibi au bandarini mie huwa nalala na 100km/hr kama safari ndefu hapo lazima nikuache,steering wheel inarespond hara Kutoka na maamuzi ya dereva
Mkuu wangu hiki kipande nimejikuta nakiwaza sana, uzi nimesoma jana usiku ila leo asubuhi nimeona nije kucomment.

Unalalaje pale kona za kutoka darajani na 100km/hr mbona ni hatari sana. Kuna siku nilichelewa bana nimetoka zangu bandarini around nne usiku naporomoka pale na speed yangu 80km/hr tu japo sikumbuki vizuri, unfortunately nikakuta Lori limezima njiani pale zile brakes hadi tairi ilinuka.

Since that day pale napita na 50Km/hr ikizidi sana 60.
 
Kudos mkuu, mi ninayo ila ya mwaka 2020, it has everything that a vehicle SUV needs to have, very latest, very comfort and very speed with excellent interior design. It is manual transmission, nalitumia kwa safari ndefu tu, 2.2 diesel engine
 
Uwa wakifungua boneti wanainua chuma kwa ajili ya kusapoti boneti 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom