Hapana kaka,Mkuu ya kwako ni XT ?
Nataka kushare experience kidogo
Safi sana mkuu...Hapana kaka,
Mi nliona nichukue chips kavu.
Mkuu wangu hiki kipande nimejikuta nakiwaza sana, uzi nimesoma jana usiku ila leo asubuhi nimeona nije kucomment.MAZDA Iko stable sana hasa zile za AWD maana mie zilikona za kutoka mageti ya darajani kuelekea uhasibi au bandarini mie huwa nalala na 100km/hr kama safari ndefu hapo lazima nikuache,steering wheel inarespond hara Kutoka na maamuzi ya dereva
Niliendesha hii chuma igawa to mbeya, mazda ni habari nyingine, ukigusa tu kitu kinasoma 100, very powerfullMazda turbocharged CX-5 inamkalisha XT Forester.
Ilikuwa Turbocharged right?Niliendesha hii chuma igawa to mbeya, mazda ni habari nyingine, ukigusa tu kitu kinasoma 100, very powerfull