Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jamaa wako serious, usichekeNimecheka kimbwa eti rimu zake so za nchi hii🤣🤣🤣
More than a used passo.Passo?!! Au nimeiona vibaya
Ona mbele ilivyogongwawangewapa pesa tu unampa gari pesa ya mafuta hawana
Dah..... halafu bàadae watu wa break down waanze kumsumbua dada wa watu malipo yaounaweza kuta hata kufika hapo ilivutwa
Rangi yake ya buluu haiendani na mlengwa, pia ni mtumba uliochoka.
Rim zake si za nchi hii.