Hii ndio gari KABAMBE atakayopewa Mshindi wa shindano la urembo MISS LAKE ZONE

Hii ndio gari KABAMBE atakayopewa Mshindi wa shindano la urembo MISS LAKE ZONE

Ahaaaa niliona juzi wanatembea wazoee kuvaa michuchumio, walikuwa wanachechemea kama wamechomwa sindano miguuni, pale samaki stend ya zaman.

Hapo ukute washenzi fulani waandaaji wanakula papuchi bure kisa paso no A tena mbovu matail
 
Ngoja ashinde uone nyodo na maringo yake huyo Miss
 
huu sasa ni utani ujue 😂😂😂😂
kama ndugu yangu angekuwa anashiriki ningemwambia aache tu
kama gari ntampa langu atumie sio kwa gari hyo

alafu right fender imeshagongwa 😂😂😂
 
Check Hapa mbele
IMG_20180803_105246.jpg
 
buhahahahahahahhahahhahhahahahahahahahahhahaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bhana watoto wazuri dissolve kupewa vitu vizri
 
Siku nikipata pesa ya kutosha kununua passo kama ya kwenye picha, nitanunua, lakini sitakuja kushiriki shindano linalochukua muda wangu na kujianika mbele ya watu halafu zawadi ni passo ya kwenye picha.

Bora lakini Mr. Tanzania hukabidhiwa pesa taslimu.
 
Tairi zimeisha.
Rim ni choka mbaya
Pia imerudiwa rangi..
Mbele ubavuni karibu na tairi kumebonyea.
Hii gari bila shaka ilipata ajali.Hatujui uhai wa injini.Akipewa mdada haichelewi kuwekwa juu ya mawe.
Waandaaji hawako serious kabisa.
Bora apewe japo Pesa hata kidogo atazifanya mtaji ili kujikwamua.
Kuliko gari bovu litakalomkamua yy.

Chuma ulete la mlimbwende wa Mwanza.
Kiekiekiekieeeeee
 
Hivi kweli utategemea mtu na urembo wake anaenda kujianika nusu uchi hadharani kisa Passo,ndio maana kila siku wanabakia kushiriki wale wasio na vigezo..
 
Back
Top Bottom