Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Bora mshindi wangempa pesa taslimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameshindwa hata kudanganya danganya kwa kuzipiga Rangi![]()
Rim zake si za nchi hii.
Hahahahahahaa utaniuwa [emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣[emoji23]🤣🤣🤣Lakin jaman enyi wana JF...basi wakati mnaleta hizi habari muwe mna weka hints kidog habari kama hizi wengine tuaifungue manake unajikuta umepasuka hata pale ambapo hapastahili hahaha....
mmmh wapo fresh![]()
Rim zake si za nchi hii.
Mamiss wenyewe wamechoka kwa kupanda bodaboda hata mtu akishinda na kupata hicho kipaso cha piston 3 chenye mtetemo kama powertiller atashukuru.![]()
Rim zake si za nchi hii.
Akikapata anakapeleka kwenye panel beating kwanzaMamiss wenyewe wamechoka kwa kupanda bodaboda hata mtu akishinda na kupata hicho kipaso cha piston 3 chenye mtetemo kama powertiller atashukuru.
Kaka, nina dhihaka kwani mimi ndio mwandaaji wa mashindano?Hahahahaah Wee jamaa ulivyo na dhihaka nilivyoona title tu nkajua ndani Hamna kitu.......hako kagari kama kakabati ka vyombo aisee ni udhalilishaji!!!!!!
Halafu haka ka passo kana engine ya power tillermsiishie kulaumu tu, jitoeni mkawasapoti dada zenu.
Gari limezungukwa na matangazo utafikiri juice za bakhresa...