Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujaza nini?kulijaza taifa.
kutimiza agizo la Mungu la kujaza dunia.Kujaza nini?
Wana watoto hawa?kutimiza agizo la Mungu la kujaza dunia.
Wana watoto hawa?
Wanautumia huo uwezo?nahakika Mungu kawajalia uwezo wa kuzaa.
Bora wangenunua cake![]()
Rim zake si za nchi hii.
Kweli aiseeeBora wangenunua cake
Kweli aiseeeBora wangenunua cake
[emoji17]Wanautumia huo uwezo?
Kweli akutukanaye hakychagulii tusiHii gari new model kabisa.. Pongezi kwa waandaji...
Naona na wewe unamiliki ki passo. Ningekuwa mimi ningewaomba waiuze hiyo hela wanipe.Gari gari tu tofauti na wanaopanda daradara acheni kuponda kitu
hahaaa ..imeuzwa hela nyingi Sana basii ni ml.3, hiyounaweza kuta hata kufika hapo ilivutwa