Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja ashinde uone nyodo na maringo yake huyo MissAhaaaa niliona juzi wanatembea wazoee kuvaa michuchumio, walikuwa wanachechemea kama wamechomwa sindano miguuni, pale samaki stend ya zaman.
Hapo ukute washenzi fulani waandaaji wanakula papuchi bure kisa paso no A tena mbovu matail
Ili waje kulisaidia nini taifa?msiishie kulaumu tu, jitoeni mkawasapoti dada zenu.
Daaadeekiiiii.....hiyo ikiingia kwa road tu afande anayo...![]()
Rim zake si za nchi hii.
Zoom![]()
Rim zake si za nchi hii.
So kwa wanavyo jizalikisha na kupata![]()
Rim zake si za nchi hii.
"Urembo" utampa mafutawangewapa pesa tu unampa gari pesa ya mafuta hawana