Hii ndio gari KABAMBE atakayopewa Mshindi wa shindano la urembo MISS LAKE ZONE

Hii gari new model kabisa.. Pongezi kwa waandaji...
 
Bora apewe piki piki ya tu gari haifai tena
 
Muandaaji wa Shindano la Miss Mwanza ni Sebastian Ndege Dr. Kupitia Kampuni yake ya Jembe ni Jembe.
 
Halaf wanaume wa mikoani mkija humu mnajisifia oneni dada zenu wanavyodhalilishwa
 
hahaaa gari imegongwa aiseee imejaa puti" inaonyesha imeshanyooshwa board mnooo", ukitazama Kermit mlango wa nyuma utalibaini hilo "", daaahh jamaa wanaroho mbaya aisee
 
Hili shindano waache kwa miaka kadhaa ili warudishe hadhi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…