Uwiiii nimecheka ka chizi hapa mbele za watu🤣🤣🤣🤣Lakin jaman enyi wana JF...basi wakati mnaleta hizi habari muwe mna weka hints kidog habari kama hizi wengine tuaifungue manake unajikuta umepasuka hata pale ambapo hapastahili hahaha....
Mkuu jiangalie na comment yako[emoji38] [emoji38] ..kuna mzee babu yule mfalme wa nonihino ametema cheche balaa kule jamhuri ya instagramu juu ya 'vijino pembe' wasowatakia mema...... mwenyewe anachagiza na "the art of.....mazafantazzz[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hili gari litamtia mshindi umaskini maana kila kitu kishafika mwisho, water pump, timing belt, sijui link rod, ball joint n.k
Bora apewe 2M.
Jamii forum ni jukwaa huru na ndio sehemu pekee iliyobaki kufungua turbo.Mkuu jiangalie na comment yako[emoji38] [emoji38] ..kuna mzee babu yule mfalme wa nonihino ametema cheche balaa kule jamhuri ya instagramu juu ya 'vijino pembe' wasowatakia mema...... mwenyewe anachagiza na "the art of.....mazafantazzz[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Halafu passo zina kipaji cha kugonga chini, sijui ni nini Huwa kinagonga? Steering wreck?Hili gari litamtia mshindi umaskini maana kila kitu kishafika mwisho, water pump, timing belt, sijui link rod, ball joint n.k
Bora apewe 2M.
Halafu passo zina kipaji cha kugonga chini, sijui ni nini Huwa kinagonga? Steering wreck?Hili gari litamtia mshindi umaskini maana kila kitu kishafika mwisho, water pump, timing belt, sijui link rod, ball joint n.k
Bora apewe 2M.
miss Tanzania ni chanzo cha umalaya wa kimataifa.Hawa jamaa wanaotafuta ma Miss kwa kweli wanafuata nyayo za kaka yao Lundenga na inabidi wathibitiwe haraka sana. Hivi mtu utafanyaje mashindano then ukaja na kigari kama hiki? Nafikiri walitaka tu wasichana wakutane kisha wawafanye yao kama alivyokuwa anafanya Lundenga.