Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hivi Yale majina ya wauzaji wakubwa walisema wanayo ndo waliyatupa kwenye dustbin au??
 
Jamani jamani...Nando wangu[emoji30][emoji30][emoji30]...i was watching BBA kwa ajili yake tu dah....and i thought anatumia weed tu...kumbe na sembe nayo....tumuombeeni jamani...Mungu amsaidie....

Mahandsome wanaisha sasa kitaa....
Hahahahahhahahah....eti "Mahandsome wanaisha" haha
 
kwenye page ya mange kule ig kawataja kabisa jamaa kama watatu akiwepo mmiliki wa e-fm/tv-e lakini ukute hakuna hata atakayeshughulika nao, so sad
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115]
 
Haya madawa yamekuwa hatari kwa vijana ukimuona rechal yule kizunguzungu utalia machozi yuko mwanza saahiv amechoka anakula kwa mamantile na kiroba mkononi ,, kawa teja amechokaa kachakaa

Mwanza sehemu gani mkuu
 
No inategemea na trip ya wapi na capacity ya kubeba mzigo..kuna punda pale kinondoni B anakula 10m per trip...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ili tatizo la unga lipo mijini tuu, kule vijijini unga Aupatikaniki, vijana wa mjini wanaangamia sana.
 
Huku chuga ni safe mkuu, hizo ngada huku sio kivile, huku nyasi sanaaa
Bora uko Arachuga mnakula Nyasi (Sigara ya TRA) uku kwetu Dar es salaam ni mwendo wa Sindano na unga mwanzo mwisho kama nyoka
 
Ili tatizo la unga lipo mijini tuu, kule vijijini unga Aupatikaniki, vijana wa mjini wanaangamia sana.
Vijijini sasa wametopea kwenye viroba usipime!

Nimetoka likizo huko hadi machozi yalinitoka ni mwendo wa kuzima tuu kwa vijana

Yaani kiufupi ulevi wowote ni hasara na umaskini tuu...
 
Hizi ni propaganda nini wakuu?

Jamaa kabadilika kichizi!!

Sijui ni kweli naskia ipo mashine yenyewe ipo kama beseni la kuogeshea watoto unatumbukiza huko miguu inakuwa inanyonya sumu mwilini,
Hawa watu huathirika kisaikolojia na dawa nyingi za kulevya husababisha brain function depression. Hakuna sumu ila in mfumo WA utendaji kazi wa ubongo huwa unaathirika na kumfanya MTU kuwa 'dependence'.. Hawezi kufanya chochote bila 'drug' tunasema kawa 'addicted'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…