Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hivi,hawa wooote wanaoathiriwa na sembe hawawaoni wenzio walivoathiriwa kabla yao!?
Ni swali zuri umeuliza,......
Sababu za watu kufanya kitu ilhali waliopita walifanya na wakapata matokeo mabaya:-
1.80% kampani/urafiki/mazingira ya watu wa namna hiyo
Eg,marafiki,ndugu,jamaa,watu wanaokuzunguka wote
2.10%-hali ya kutaka kujaribu kitu kipya
3.10%-msongo wa mawazo
Control namba moja,umecontrol maisha yako
 
This guy namjua sana tena sana,nimekua nae street moja Mikocheni.

He was innocent,charming guy plus good football player,nakumbuka tulikua tunacheza wote mpira shule ya msingi Mikocheni B.

Wengi wanamjua kwa jina la NANDO (Hapa sitoweka jina lake halisi).
Mama'ake mzazi yupo Marekani na wakati anaenda Big Brother Africa alikua uko USA as a model katika kampun flani hv baada ya mama'ake mzazi kumfanyia mchongo.
(Alimaliza Four4 Neema Trust High School)

Back to wat happened to him.

Mid in 2013 nilikutana nae Rose Garden (as we're gud friends aiseee) wakat amerud toka BBA (mnakumbuka ni nin alifanya uko mpaka akatolewa ila mchongo sisi watu wa karibu tulijua kabisa yeye ndo anashinda maana tayari tulipaswa kwenda South Africa kwaajili ya party yake)

Akanibom siku iyo apo Rose Garden kuku mzima ale,nikampa pesa elfu34 maana ni mwanangu kabisa tumeshibana.
Nikasepa. Nikazunguka na mizunguko yangu narud eneo ilo tena nikamkuta (imagine akanibom tena lakin wakat huu tayari amelewa na madawa na hakumbuki kama tulionana,nikampa buku5 ingawa nilionywa nisimpe)

Sisi watu wakaribu tunawalaumu familia yake ya pale Mikocheni.


Back in 2015 juz juz tu nikakutana nae tena ila this time around it was worse aiseeee. Imagine nakutana nae,hanijui kwa jina ila sura anakumbuka. Anaomba kiroba namnunulia bia ila hatak kuichukua anasema niiache atakunywa baadae ila ukitoka anabadilishiwa anapewa UNGA.

Mikocheni,kino,magomen na Msasani ni sehem mbaya kwa vijana wa mambo ya UNGA.

NAUMIA SANA KUMUONA JAMAA HIVI ILA SINA LAKUFANYA.

NAUMIA GUYS TRUST ME
Vipi, jamaa alipelekwa rehab, akaka sawa?
 
Hii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.

Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania. Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando, zaidi ya Chiddy Benzino.

Huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lkn majibu ya madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa umekwisha kwenda.

Tuwasaidie vijana wetu waepukane na matumizi ya madawa ya kulevya.

View attachment 453137
=======

NANDO AKIWA KWENYE MAHOJIANO AKIFAFANUA KUHUSU MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA


Shindano lenyewe halina BARAKA.
 
Back
Top Bottom