Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hivi,hawa wooote wanaoathiriwa na sembe hawawaoni wenzio walivoathiriwa kabla yao!?
Ni swali zuri umeuliza,......
Sababu za watu kufanya kitu ilhali waliopita walifanya na wakapata matokeo mabaya:-
1.80% kampani/urafiki/mazingira ya watu wa namna hiyo
Eg,marafiki,ndugu,jamaa,watu wanaokuzunguka wote
2.10%-hali ya kutaka kujaribu kitu kipya
3.10%-msongo wa mawazo
Control namba moja,umecontrol maisha yako
 
Vipi, jamaa alipelekwa rehab, akaka sawa?
 
Shindano lenyewe halina BARAKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…