Inasikitisha mno.
Neno linatuasa: Ishini nao kwa akili.Umama huu
Oya mkuu nikiuza viatu vya mtumba nitatoboa kweli?🥹Maisha ndivyo yalivyo
Chochote kizuri ukiuza kwa bei rafiki kitatoka kwa haraka, na ili uuze kwa bei rafiki itakuhitaji upate chimbo linalouza kwa bei shawishi.Oya mkuu nikiuza viatu vya mtumba nitatoboa kweli?🥹
Hiyo nb nieleweshe vzr mkubwa, huo mshahara nyie mnapatapataje?Chochote kizuri ukiuza kwa bei rafiki kitatoka kwa haraka, na ili uuze kwa bei rafiki itakuhitaji upate chimbo linalouza kwa bei shawishi.
NB: Chanzo cha mishahara ni mapato (mauzo), bila mapato hakuna mishahara.
Pesa yoyote ile lazima iwe ina chanzoHiyo nb nieleweshe vzr mkubwa, huo mshahara nyie mnapatapataje?
Hata kama ya wizi freshy tu sio!Pesa yoyote ile lazima iwe ina chanzo
Sawa we uzaSawq
Nauza machunga matamu ya Tanga Muheza
Moja mia
Njoo niungishe basiSawa we uza
Mfano wewe ni mchungaji, ukaletewa sadaka haramu, utaikataa?Hata kama ya wizi freshy tu sio!
Namalizia lunch napitia!Njoo niungishe basi
machunga ndo nini mkuu?Sawq
Nauza machunga matamu ya Tanga Muheza
Moja mia
Ni ngumuu! nitaitakasa kwa maombi kisha kuitia kapuni 😎Mfano wewe ni mchungaji, ukaletewa sadaka haramu, utaikataa?