Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Hatar mpya katika ustawi na usalama wa mataifa ya magharibi na dunia ilio timamu n muunganiko itikadi ya mrengo wa kushoto na itikadi ya msimamo mkali
Katika usawa huu ambao watoto wenu wanatakiwa wafundishwe kuhusu ushoga tangu mashuleni, kuupiga chini ukristo kwa sababu hauendani na ushoga na feminism, kuwa chukia wayahudi na wakristo maana wapo connected na israel kuliko palestina, uhamiaji holela wa waharidu kutoka mataifa ya itikadi kali na kulazimisha tamaduni zao katika jamii mpya, etc.
Wametengeneza bond ndio maana unaona vyama vya mrengo wa kushoto ufaransa, uk wameharibu nchi zao kwa kuua tamaduni zao na kuwawatia hatiani watu walio katika mrengo wa kulia.